Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Maji yamezidi Unga?Siwezi kumaliza mb zangu kupandisha video za msaliti wa Nchi
Aliwatetea Mabeberu baada ya kuona maji yamezidi Unga yakaja kuomba radhi kwa Rais Magufuli
Mkuu nadhani unazidi kuonesha huna cha maana
Lissu hajawahi tetea waiba mali za umma awe wa aina yeyote..
Hoja aliyokua anatoa na wenzake ni kua kuvunja mikataba kuna legal implications inatakiwa kuweka watalaam vizuri ivunjwe vizuri na sio ukurupukaji
Hajawahi tetea muiba mali ya umma on anything
Unachofanya hapa,ni kua Lissu ni formidable foe wenu politically and you can not deny that,na mnaona kabisa kura zina highest possibility ya ku-swing upande wake
Candidate wenu ni the most hated,most unpopular ever....