Uchaguzi 2020 Sera ya Majimbo ndio msumari wa mwisho kwenye jeneza la CHADEMA kuelekea Oktoba 28

Siwezi kumaliza mb zangu kupandisha video za msaliti wa Nchi
Aliwatetea Mabeberu baada ya kuona maji yamezidi Unga yakaja kuomba radhi kwa Rais Magufuli
Maji yamezidi Unga?

Mkuu nadhani unazidi kuonesha huna cha maana

Lissu hajawahi tetea waiba mali za umma awe wa aina yeyote..

Hoja aliyokua anatoa na wenzake ni kua kuvunja mikataba kuna legal implications inatakiwa kuweka watalaam vizuri ivunjwe vizuri na sio ukurupukaji

Hajawahi tetea muiba mali ya umma on anything

Unachofanya hapa,ni kua Lissu ni formidable foe wenu politically and you can not deny that,na mnaona kabisa kura zina highest possibility ya ku-swing upande wake

Candidate wenu ni the most hated,most unpopular ever....
 
Msaliti aliemsaliti Magufuli ni sawa na I respect him na ni true hero to Tanzania...atapata 90% na JPM 10%....wait and see...

Na hii ni so scary to all of you ndio maana mnapaniki mno yaani....
90%???
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Check this....

2015 huyu bwana alipata 57% na kila mtu alikua anampenda,ooh mchapakazi,ooh mzalendo,oooh this and that....

Ameingia havoc aliyofanya for 5 years aisee people trully hate him,watampa sana sana 10%..

Asilimia 90% anakula Lissu,true capitalist,true libertarian,true personal freedoms advocate,mtu mwenye vision kama founding fathers wa USA!
 
Ngoja tusubiri October 28
 
Lissu alikuwa anawatetea Mabeberu bungeni waendelee kuchimba madini yetu huku Rais Magufuli akitutetea

Tutamwoshe lissu kuwa usaliti kwa Nchi ni laana

Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
Maji yamezidi Unga?

Mkuu nadhani unazidi kuonesha huna cha maana

Lissu hajawahi tetea waiba mali za umma awe wa aina yeyote..

Hoja aliyokua anatoa na wenzake ni kua kuvunja mikataba kuna legal implications inatakiwa kuweka watalaam vizuri ivunjwe vizuri na sio ukurupukaji

Hajawahi tetea muiba mali ya umma on anything

Unachofanya hapa,ni kua Lissu ni formidable foe wenu politically and you can not deny that,na mnaona kabisa kura zina highest possibility ya ku-swing upande wake

Candidate wenu ni the most hated,most unpopular ever....
 
Kama USA ilishindwa kupenyeza mamluki wao kipindi kile ana nguvu ataweza sasa alivyojichokea ?

Huyu msaliti wa Nchi ameachwa aruke ruke sisi Watanzania October 28 tutamwonyesha kuwa usaliti kwa Nchi ni laana
Check this....

2015 huyu bwana alipata 57% na kila mtu alikua anampenda,ooh mchapakazi,ooh mzalendo,oooh this and that....

Ameingia havoc aliyofanya for 5 years aisee people trully hate him,watampa sana sana 10%..

Asilimia 90% anakula Lissu,true capitalist,true libertarian,true personal freedoms advocate,mtu mwenye vision kama founding fathers wa USA!
 
Lissu alikuwa anawatetea Mabeberu bungeni waendelee kuchimba madini yetu huku Rais Magufuli akitutetea

Tutamwoshe lissu kuwa usaliti kwa Nchi ni laana

Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
Haahahaaa

Everybody hates JPM..and you know it!

Kura yangu na familia yangu na washikaji wangu nilionao,hawampigii Magufuli..wana hasira mbaya

Go die with him!

Eti anatutetea,nani anataka kutetewa na yeye?Nobody
dictators.png
 
Wewe na familia yako kura zenu mkimpa msaliti wa Nchi haitaathiri kitu kwa sababu Dr Magufuli ni kipenzi cha Watanzania na tutampigia kura kwa 98%

Vijana wachache wa Chadema mwaka huu mtajiua sana, kuna mwenzenu kajiua juzi Kwasababu wazazi wake hawataki hata kuisikia Chadema

Lissu atachaguliwa na watanzania wote mwaka huu. Jiandaeni tu kuwa wapinzani
 
Wewe na familia yako kura zenu mkimpa msaliti wa Nchi haitaathiri kitu kwa sababu Dr Magufuli ni kipenzi cha Watanzania na tutampigia kura kwa 98%

Vijana wachache wa Chadema mwaka huu mtajiua sana, kuna mwenzenu kajiua juzi Kwasababu wazazi wake hawataki hata kuisikia Chadema
Wewe unasema 98% kura ni kwa Magufuli

Na mimi nasema 90% kura ni kwa Lissu

Guess what,wote tupo sawa...

Tupo hapa tunabwekeana kama kima....

Nenda katawadhe kwa Magufuli na mimi nitawadhe kwa Lissu

End of story!
 
Piga spana kwa Wasaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert [emoji3][emoji3]
Wewe unasema 98% kura ni kwa Magufuli

Na mimi nasema 90% kura ni kwa Lissu

Guess what,wote tupo sawa...

Tupo hapa tunabwekeana kama kima....

Nenda kawadhe kwa Magufuli na mimi nitawadhe kwa Lissu

End of story!
 
Piga spana kwa Wasaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert [emoji3][emoji3]

Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania tutakuchagua kwa kishindo 98%
Piga SPANA dikteta Magufuli....

Tutakung'uta inavyotakiwa....
 
Back
Top Bottom