Sera ya matajiri wakubwa nchini kuwa Raia wenye asili fulani na kazi fulani iwe yenye malipo makubwa zibadilike!

Sera ya matajiri wakubwa nchini kuwa Raia wenye asili fulani na kazi fulani iwe yenye malipo makubwa zibadilike!

Inasikitisha sana, hii tabia ya Waafrika kujiliza ifike mwisho sasa.

Mbaya tunangangania tupendwe na jamii nyingine, wapi umeona raia wa Japan, America, India, Germany, Uruguay n.k wakililia wapendwe iwe katika siasa zao, imani zao za kidini, kibiashara n.k Wao hufanya yao mazuri na kizuri chajiuza wakati kibaya chajitembeza kwa kulialia.
CHEMA CHAJIUZA KIBAYA CHAJITEMBEZA. kitu kizuri hakihitaji lebo wala nembo
Wamatumbi tuache kulialia fursa zipo kibao na tubadili mifumo yetu ya kimaisha ili tuondokane na minyororo ya umasikini wa kujitakia. Tuache kupoteza muda ktk shughuli za harusi, misiba, kujenga majumba ya mabilioni kwa ajili ya kuishi wakati ndiyo mtaji wenyewe, kuendesha magari kwa ajili ya starehe badala ya kutumika kama nyenzo ya kufuatilia biasha zako, kushinda ktk majumba ya imani za kidini za kuja n.k mambo ambayo yanatugharimu ktk jamii pakubwa kiiuchumi.

Wenzetu hata baiskeli huwa inatumika ktk shughuli za kiuchumi. Mambo ya kibiashara yakikua hununua pikipiki ya bei nafuu kuzidi kutumika kupanua biashara. Baada ya hapo biashara hiyo ikizidi kukua , hununua gari la bei ndogo na anaendelea kwa mtindo huo hadi kufikia ngazi ya gari la gharama kubwa kufuatana na mabilioni ya faida ktk biashara yake. Sisi wamatumbi tunaruka hatua hizo na kujitumbikiza katika matatizo makubwa ya kifedha na kiuchumi kwa kujiingiza ktk madaraja ambayo bado hatujafikia .

Kwa kifupi ukitaka kujua kama baiskeli au gari inakufaa kwa shughuli zake halali zinazokuingizia kipato basi fanya hesabu je nikipewa mkopo wa baiskeli au pikipiki kwa ajili ya usafiri kwenda kwenye shughuli zako utaweza kulipia mkopo huo kila mwezi, pia kipato chako halali kitaweza kununua chakula, mavazi, karo za shule kama una familia, pango / kodi la/ ya nyumba ? Kama ni hapana achana na hiyo baiskeli au gari tumia usafiri wa umma ndivyo wenzetu wanavyofanya ktk nidhamu ya fedha na kujijengea mtaji / capital.
 
Jumanne Kishimba anaelezea matatizo makubwa ya Tanzania kushindwa kuona fursa :

"Leo wazungu wametengeneza mpaka mapapai ya miezi 6, wametengeneza kuku wa kizungu kwanini hao wataalamu wasilete miti ya miezi 6 ili watu wauze kuni na mkaa, lazima twende kwenye pesa" Jumanne Kishimba" - Jumanne Kishimba mbunge Kahama Mjini

Nimetazama video yoote........

Pure sanity, pure jiniazi.

Ng'ombe haharibugi msitu kinyume chake huubalansi ukanawiri zaidi.

Ngombe huzuia nchi kugeuka jangwa!! na msihisi natania au ni sarcasm hapana! bali huo ndio ukweli ulivyo
 
Walioporwa mali na biashara zao kutaifishwa wakati wa Azimio la Arusha wengi walikuwa ni WaAsia. Mpaka leo hawajalipwa fidia au kurudishiwa mali zao. Sasa hiyo dola ilikuwa wapi?
Ungejua jinsi walivyo "react" na ku syphone forex nyingi including viwanda na biashara kwenda nchi jirani na fedha kupitishwa kiharamia kwenda Ulaya nk. usingetamka hayo. Naweza kukuhakikishia tumeshalipa kutaifishwa kwa majumba yao kwa kiwango cha 200% and above. Tatizo letu mambo kama haya hayafanyiwi utafiti, mtu angepata PhD ya Uchumi kwa kazi hiyo. Kwani hujasikia India wanauza Tanzanite nyingi kuliko TZ? Kama huyajui usiyazungumzie sana, lakini kama wewe ni mhusika unajifanya mjanja jua siku ipo inakuja.
 
Wakuu
Poleni na majukumu.

Katika kitabu cha Ndugu yetu Reginald Mengi alichochapisha KABLA hajaitwa na Baba mwenyezi.

Kitabu cha I can,I must and I Will kilieleza wakati ngumu Sana aliopitia na vikwazo vyake alivopitia wakati wa harakati zake kiuchumi enzi za uhai wake!Moja Kati ya malalamiko yake ni wazawa kutopewa kipaumbele na serikali kwenye fursa za uchumi kama waliyopewa wageni hasa Raia wenye asili Asia.

Kwamba Raia wenye asili ya Asia walipewa kipaumbele na sapoti ya kutosha katika uwekezaji wao kiuchumi KULIKO wazawa na Hii ilileta pengo kubwa la utajiri Kati ya wazawa na Raia Hawa wenye asili ya Asia Hadi leo.
Majina yanayowika kwenye uchumi wetu Hadi leo ni ya Hao raia KULIKO sisi wenyewe!!

Ni dola pekee inayoamua mambo hata wala sio utashi wa mtu mmoja na hilo hufanywa KWA sababu mbali mbali wanazijua wao.

Umefika wakati wa kubadili sera hii na sisi wazawa tuwe matajiri ndani ya nchi yetu wenyewe kama ilivyo huko marekani ambapo matajiri wazawa Ndio wameshikilia uchumi wa nchi hiyo Hadi leo.

Sioni faida tena KWA dola kuwapendelea wageni na kuwasahau wazawat kama ilivyo Sasa.

Pia kazi ya siasa kuwa ya malipo makubwa Sana KULIKO nyingine na kama ualimu,udaktari na nyinginezo ni kujali kundi dogo la watu kuacha Kundi kubwa la wananchi ambao wangesaidia kukuza mzunguko wa uchumi KULIKO Sasa.

Sera hizo mbili ambazo zimeratibiwa na wenye Dola zinapaswa kubadilika kuendana na nyakati za sasa!!

Naamini wenye dola watafanya Mabadiliko ya kimfumo kuelekea katiba Mpya ijayo Ili kuondoa Hali iliyopo inayowafanya wananchi kuwa watumwa katika nchi yao huku wageni wakiwa maboss!!

Naendelea kuamini yupo mtu anaandaliwa na dola ambaye atakuwa Rahisi kuendana na Mabadiliko hayo.
Mungu ibariki TANZANIA
Mkuu kila mwamba ngoma kamba huvutia kwake.
Serikali kwa miongo mbali mbali imeshindwa na kwa kiwango kikubwa kuwapa wanyonge maendeleo na mafanikio makubwa.
Kwanza hakuna mnyonge ni mfumo tu.
Pili hao wapuuzi wanaotwambia wanyonge ni madalali kuwanyonya masikini,kila siku ni kama fundi Michael.
Serikali zetu wamekopa kwa mabenki rafiki kutupa maendeleo, maskani yeye anatotoa watoto tu wengi,unategemea maskini atatatoboa?
Mwalimu alipokuja na UMATI hakuwa mpumbavu.
 
Inasikitisha sana, hii tabia ya Waafrika kujiliza ifike mwisho sasa.
Kumbe mzee Mengi alikuwa ana Lia Lia!!?sera huyo ipo hapa NCHINI!

The state ndio wakaamua nani awe tajiri nani asiwe regardless na working capacity ya mtu!!
Elewa HAYO niyasemayo

Ina MAANA wats wote ni wavivu hawana discipline ya fedha Sio!!?

MENGI hakukurupuka KWENYE kitabu chake!!cha I can, I must I will!!
 
Mimi nimebahatika kutembea dunia. Nakuhakikishia kuwa tatizo ni sisi wenyewe na tusitafute pa kutupa lawama. Kwanza mwafika ni mvivu. Pili ni mzembe. Tatu ni mwizi. Nne anaridhika mapema. Tano anaendekeza ngono. Sita ni mbinafsi na anataka yeye tu ndiye aonekane tajiri au mjanja.
Point tupu umetema

Ova
 
Jibu rahisi ni kwa mifano ya Arusha na Dar es salam wenyeji,/wazawa wamepitwa kwa mbali na wahamiaji kiuchumi kwenye miji yao.
Wazawa weusi Tz hatuna nidhamu ya fedha kwenye biashara kama wahindi na waarabu,pita Arusha uone wale mabilionea wa Tanzanite kwa sasa walivyo pitwa na ngozi nyeupe wauza maduka kiuchumi
Lini ulisikia. Mo, GSM au Rostam wakimwaga minoti kweye matamasha ya muziki ili waitwe mapedeshee?
Kuna ukweli ua uwakute kidimbwi
 
Fanta uchunguzi wa kina wa hicho nilichoandika KWANZA!!hakuna jambo linalotokea KWA Bahati MBAYA keep la kitu unachokiona kinapangwa Duniani kote!!!

Wenye dola ndio wanapanga jamii ipi iwe matajiri wakubwa kwenye NCHI na sio vinginevyo!!!

UNAFIKIRI sisi hatufanyi KAZI!!? Yaani wote ni wavivu Hadi kina baakhresa,mondewji,manii,gsm wawe juu halafu asiwepo mzawa hata wawili wanaovuma kama hao jamaa!!?

FIKIRIA upya man!
Rostam aziz babu zake walianza biashara tabora zaidi ya miaka 170 iliyopita,gsm baba alihama tanga akahamia songea kufuata fursa za kilimo..mengi alitapeli NBC akapata mtaji...utajiri hauji ghafla,labda wa kipaji Kama mpira,kikapu,movie na tech Facebook,weusi baba akifa tunagawana tunaongeza wake,vilabuni watatukoma..waasia anatafutwa mtu mwenye uwezo anasimamia Mali iendelee kuzaa,serikali Haina sera ya kutajirisha mtu
 
Huu ukiritimba wa kupenda ngozi nyeupe tunao sana tukiuacha tutapiga hatua kubwa.
 
Huu ukiritimba wa kupenda ngozi nyeupe tunao sana tukiuacha tutapiga hatua kubwa.
Huyo naniliu uliyemtaja hapo sio tajiri huyo ni mkwepa kodi mkubwa na kivuli cha jamaa mmoja hivi yupo mkoa wa jirani ya jiji la maraha.

Fedha zake zinatokana na kukwepa kodi. akibanwa hutamsikia vizuri hutamsikia tena.
 
Mtanzania tajiri nchini Marekani, ambaye hakuwa na uoga kutumia fursa :

https://african.business › economy
Tanzania's Meck Khalfan US Charger King - African Business

1 Mar 2015 — Meck Khalfan watched frustrated New Yorkers struggle with chargers which had limited capacity and which failed to fully revive their

Nimesoma hii story mkuu hakuna mtanzania hapo. Ni sawa kujisema eti fifty ama Obama Ni mwafrika just rangu Ila mind sio.
Mtu amezaliwa China na marekani mpaka saivi Wana 30+ unaita watanzania na huku hata uraia wa tz hawana.
Hakuna anayekula ugali akafanya haya yote
 
Label destroy us. Let us treat each other as human first. Watu wenye mawazo ya kibaguzo wengi wana asili ya uchungaji ambao kimsingi hata wao ni wahamiaji. Na huenda kwasasa wako dar, lkn kabla ya kuja dar hakuwahi kuishi na mchanganyiko wa makabila mengine zaidi ya ngombe, mbuzi au kondoo na watu wa kabila lake
 
Kumbe

Kumbe Mengi alipoandika serikali ilipendelea wageni kwenye fursa za uwekezaji alikuwa mchungajibwa mbuzi na ng'ombe!!?akili kumkichwa
 
Rostam aziz babu zake walianza biashara tabora zaidi ya miaka 170 iliyopita,gsm baba alihama tanga akahamia songea kufuata fursa za kilimo..mengi alitapeli NBC akapata mtaji...utajiri hauji ghafla,labda wa kipaji Kama mpira,kikapu,movie na tech Facebook,weusi baba akifa tunagawana tunaongeza wake,vilabuni watatukoma..waasia anatafutwa mtu mwenye uwezo anasimamia Mali iendelee kuzaa,serikali Haina sera ya kutajirisha mtu
Hebu tupe habari zaidi kuhusu kutapeli NBC. mwaka gani ilitokea? kiasi gani aliitapeli NBC; Ilikuwa mkopo hakurudisha au ilikuwa je mkuu! Bank zinauwezo wa kutumia sheria zilizopo na kukamata mali za aliyeshindwa kurudisha mkopo nk na kupiga mnada, ni kwanini NBC ilikubali kutapelika kirahisi wakati inafahamika alikuwa na mali nyingi tuu?
 
Niliona sehemu mengi ni cpa za mwanzo tz
 
Wakuu
Poleni na majukumu.

Katika kitabu cha Ndugu yetu Reginald Mengi alichochapisha KABLA hajaitwa na Baba mwenyezi.

Kitabu cha I can,I must and I Will kilieleza wakati ngumu Sana aliopitia na vikwazo vyake alivopitia wakati wa harakati zake kiuchumi enzi za uhai wake!Moja Kati ya malalamiko yake ni wazawa kutopewa kipaumbele na serikali kwenye fursa za uchumi kama waliyopewa wageni hasa Raia wenye asili Asia.

Kwamba Raia wenye asili ya Asia walipewa kipaumbele na sapoti ya kutosha katika uwekezaji wao kiuchumi KULIKO wazawa na Hii ilileta pengo kubwa la utajiri Kati ya wazawa na Raia Hawa wenye asili ya Asia Hadi leo.
Majina yanayowika kwenye uchumi wetu Hadi leo ni ya Hao raia KULIKO sisi wenyewe!!

Ni dola pekee inayoamua mambo hata wala sio utashi wa mtu mmoja na hilo hufanywa KWA sababu mbali mbali wanazijua wao.

Umefika wakati wa kubadili sera hii na sisi wazawa tuwe matajiri ndani ya nchi yetu wenyewe kama ilivyo huko marekani ambapo matajiri wazawa Ndio wameshikilia uchumi wa nchi hiyo Hadi leo.

Sioni faida tena KWA dola kuwapendelea wageni na kuwasahau wazawat kama ilivyo Sasa.

Pia kazi ya siasa kuwa ya malipo makubwa Sana KULIKO nyingine na kama ualimu,udaktari na nyinginezo ni kujali kundi dogo la watu kuacha Kundi kubwa la wananchi ambao wangesaidia kukuza mzunguko wa uchumi KULIKO Sasa.

Sera hizo mbili ambazo zimeratibiwa na wenye Dola zinapaswa kubadilika kuendana na nyakati za sasa!!

Naamini wenye dola watafanya Mabadiliko ya kimfumo kuelekea katiba Mpya ijayo Ili kuondoa Hali iliyopo inayowafanya wananchi kuwa watumwa katika nchi yao huku wageni wakiwa maboss!!

Naendelea kuamini yupo mtu anaandaliwa na dola ambaye atakuwa Rahisi kuendana na Mabadiliko hayo.
Mungu ibariki TANZANIA
Ccm ni mavii ...tena kwa sasa ni zaidi baada ya sa100 kuchukua nchi hali ni mbaya sasa hivi hadi jeshi linakwenda kuwekwa chini ya muarabu
 
Hivi dhana ya kuwawezesha wazani INA maana gn. Wakati wale walalamishi ndio waliokabidhiwa mashirika ya umma wakayafilisi akiwwmo tajiri mwenda zake. 95% ndio wameshika nafasi nyeti za kufanya maamuzi. Sasa sijui una maana gn mnapolilia upendeleo
 
Siku mbili mnakuja na Uzi haya ndo makabila yenye mfanikio Tanzania..Better wageni waongoze milele
 
Back
Top Bottom