Uchaguzi 2020 Sera ya ujenzi wa shule kwenye Ilani za Vyama vya Siasa ikoje?

Uchaguzi 2020 Sera ya ujenzi wa shule kwenye Ilani za Vyama vya Siasa ikoje?

Big Eagle

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2020
Posts
592
Reaction score
625
Shule za mkoloni zinaonesha kuchoka na kulegea.

Watoto wa kusoma wanaongezeka kila mwaka shule haziongezeki.

Kanda ya ziwa hakuna chuo kikuu cha serikali ni vijitawi tu.

Jana nilimuona mgombea anasema ataongeza madarasa matatu kweye shule yenye madarasa 10 na wanafunzi 3300+ nikapenda kujua hakuna chama nyenye mpango wa kuanzisha ujenzi wa shule kama alivyo fanya ndugu Kikwete kwa awamu nyingine, ilani zinasemaje ujenzi wa shule au linaachwa kama tatizo la kuombea kura.
 
Back
Top Bottom