Stendi ya Dodoma nanenane umeenda mkuu? yaani ni aibu sana, vibanda vya maturubai ndani ya stendi nzuri kama ile. Kwanini wasiwe wanajenga vifremu vidogo vidogo kwaajili ya hao wanyonge wenye mitaji midogo.Unaongea ukweli,nenda stand mpya ya Mbezi after a week utaniambia. Pita maeneo ya posta sasa hivi uone jinsi mambo yanavyoenda hobela hobela ..
Ni vyema serikali ijikite katika kuondoa umasikini kiukweli na siyo hii cheap populism.Sio kuua miji tu bali hizi sera zilizojaa maamuzi ya kisiasa ndani yake,zinaua nguvu kazi ya Taifa huko vijijini.Huwa tunajinasibu zaidi ya 70% ya Watanzania pamoja na uchumi wa nchi unategemea kilimo.Kilimo kinafanyika vijijini,sasa kwa hizi sera za kurahisisha watu kuja mijini pasipo kuwabana,kama ilivyokuwa zamani kukamata wazururaji,inafanya vijana wakimbilie mijini na kuacha wazee ndio wanapambana na kilimo mashambani.
Well saidView attachment 1714616
Sasa hivi kuna sera zisizo rasmi za kuwabeba ati watu "masikini".
Nawawekea mfungo hao "masikini" maana hata definition yao katika jamii hawajulinani.
Humo kuna mama lishe, machinga na wengine wengi.
Kundi hili kwa sasa, hasa jiji la DSM , limeendekeza uchafuzi wa mazingira mkubwa sana.
Tatizo la hao "masikini" wamepewa open cheque ya kufanya lolote wanalotaka Jijini.
Wanaweza fungua biashara popote
Wanaweza kwenda haja popote
Wanaziba mitaro ya maji ya mvua
Hawazoi taka zao.
Hawalipi kodi yoyote.
Hawataki kudhibitiwa kwa aina yoyote ile kiutaratibu.
Walijengewa Machinga Complex kule Ilala lakini wako wanang'ang'ania barabarani.
Kiujumla hawa "masikini" wanaweza kuwa mtaji wa kisiasa lakini ni kero kubwa kwa watendaji Jijini.
Hili sasa limesha kuwa tatizo la kisiasa.
Hao ndo wamama waliozaa hao unawaita maskin...yaan mtanzania ukianza kushika vi lak mbil mbili unaona umeyapatia...pumbav sana we jamaaHakuna machinga au mama lishe aliye epuka umasikini... Biashara zao zinawafanya masikini siku nenda rudi.
Kuna wamama tangu nasoma chekechea mpk leo bado wanauza vitumbua na maisha yao yako Vilevile.
Serikali haina mbinu za kuondoa umasikini
Hiv wew jamaa.samahan sana ..hapo kwenye jamaa kulikua na tusi moja la nguon kabisaView attachment 1714616
Sasa hivi kuna sera zisizo rasmi za kuwabeba ati watu "masikini".
Nawawekea mfungo hao "masikini" maana hata definition yao katika jamii hawajulinani.
Humo kuna mama lishe, machinga na wengine wengi.
Kundi hili kwa sasa, hasa jiji la DSM , limeendekeza uchafuzi wa mazingira mkubwa sana.
Tatizo la hao "masikini" wamepewa open cheque ya kufanya lolote wanalotaka Jijini.
Wanaweza fungua biashara popote
Wanaweza kwenda haja popote
Wanaziba mitaro ya maji ya mvua
Hawazoi taka zao.
Hawalipi kodi yoyote.
Hawataki kudhibitiwa kwa aina yoyote ile kiutaratibu.
Walijengewa Machinga Complex kule Ilala lakini wako wanang'ang'ania barabarani.
Kiujumla hawa "masikini" wanaweza kuwa mtaji wa kisiasa lakini ni kero kubwa kwa watendaji Jijini.
Hili sasa limesha kuwa tatizo la kisiasa.
Ninyi ndo mnapotosha hata maana ya umasikini na namna ya kuutatua.Hiv wew jamaa.samahan sana ..hapo kwenye jamaa kulikua na tusi moja la nguon kabisa
Naomba nikuulize swal..unaifaham hal ya kiuchumi ya nchi yako..pato lake la ndan na la nje. Halaf pia unaifaham hali ya kiuchumi ya wananchi wa nchi yako vzur...unafaham ni idad gan ya wananchi wa taifa hili wenye elimu ya sekondar na elimu ya darasa la saba..na pia unafaham tanzania hii ukitoa majiji ambayo infact hayana hadhi hzo..idad kubwa ya watu wako nje ya miji .na pia unafaham pato la mwananchi kwa siku moja...inaonekana mtoa mada ni mpumbav flan usiejua kitu...
Hebu nakuomba...fanya tafiti inchi za ulimwengu wa pili na tatu ..china.india...zile tiger countries.malaysia.philipines etc etc..
Katika miji yao je hakuna machinga?hakuna hao wapanga biashara barabaran?
Usifananishe mazingira ya nchi za dunia ya kwanza.ulaya na marekan mazingira yao ukayaleta huku kwenye taifa maskin kuliko dunian ambalo hata panadol ni tatzo
Mimi nakwambia ukwel..niko vzur..nina almost kila kitu kijana mtanzania ana wish kuwa nacho....na nishatembea huko unakohis ndo kuna maisha bora...lakin hata sku1 sjatowai wala stothubutu kutamka au kuandika ulichoandika...
Rais maguful si mjinga kuachia watu wa hilo daraja kufanya wanavyofanya..hao ndio wanasomesha watoto..hao ndio engine ya uchumi tanzania..kama hilo hujui sawa
Nchi kama tanzania ambayo hata nzi ma mbu bado ni tatzo.haijafikia level hyo ya majij kama unavyotaka wewe..wakifanya hvyo unavyotaka wew tutajenga wimbi la mabalaa na matukio ambayo nchi zingne zinajuta sasa hiv...gap la tajir na maski. Litakua kubwa snaa...
Hatua hto unayoitka wew ni nzur si mbaya ila si sasa..labda baada ya miaka 20..
Sjui wew mtoa mada umenielewa.
Hawa wabunge wa CCM ni sawa tu na madiwani wao.''Hawakuchaguliwa na wananchi'',By JPM.Kwa hiyo hawana meno yeyote!Nilitaraji hii kero ingeibuliwa na wabunge wa Dar
Kwa kweli nashangazwa na ukimya wa wabunge wetu Dar.Hawa wabunge wa CCM ni sawa tu na madiwani wao.''Hawakuchaguliwa na wananchi'',By JPM.Kwa hiyo hawana meno yeyote!
Kifupi. Huijui dunia. Hujafika China wala kwenye nchi za Asian Tigers. Muhimu zaidi huhitaji kwenda huko. Taarifa nyingi zinapatikana kupitia vyanzo vya kuaminika duniani kote. Unahitaji tu kuwa makini (serious), mkweli na mtafutaji mzuri wa taarifa. Pia uwe na uwezo mzuri wa uchambuzi wa uchumi mpana (macroeconomic analysis). Halafu uone kama mpangilio tulio nao hapa unalingana na China na huko kwingine. Kama kuna umachinga holela kabisa kama tulio nao hapa. Kama huo umachinga ndio uliowapaisha. Tafuta habari za China hata za enzi za Mao uone walikuwa wapi kiteknolojia.Hiv wew jamaa.samahan sana ..hapo kwenye jamaa kulikua na tusi moja la nguon kabisa
Naomba nikuulize swal..unaifaham hal ya kiuchumi ya nchi yako..pato lake la ndan na la nje. Halaf pia unaifaham hali ya kiuchumi ya wananchi wa nchi yako vzur...unafaham ni idad gan ya wananchi wa taifa hili wenye elimu ya sekondar na elimu ya darasa la saba..na pia unafaham tanzania hii ukitoa majiji ambayo infact hayana hadhi hzo..idad kubwa ya watu wako nje ya miji .na pia unafaham pato la mwananchi kwa siku moja...inaonekana mtoa mada ni mpumbav flan usiejua kitu...
Hebu nakuomba...fanya tafiti inchi za ulimwengu wa pili na tatu ..china.india...zile tiger countries.malaysia.philipines etc etc..
Katika miji yao je hakuna machinga?hakuna hao wapanga biashara barabaran?
Usifananishe mazingira ya nchi za dunia ya kwanza.ulaya na marekan mazingira yao ukayaleta huku kwenye taifa maskin kuliko dunian ambalo hata panadol ni tatzo
Mimi nakwambia ukwel..niko vzur..nina almost kila kitu kijana mtanzania ana wish kuwa nacho....na nishatembea huko unakohis ndo kuna maisha bora...lakin hata sku1 sjatowai wala stothubutu kutamka au kuandika ulichoandika...
Rais maguful si mjinga kuachia watu wa hilo daraja kufanya wanavyofanya..hao ndio wanasomesha watoto..hao ndio engine ya uchumi tanzania..kama hilo hujui sawa
Nchi kama tanzania ambayo hata nzi ma mbu bado ni tatzo.haijafikia level hyo ya majij kama unavyotaka wewe..wakifanya hvyo unavyotaka wew tutajenga wimbi la mabalaa na matukio ambayo nchi zingne zinajuta sasa hiv...gap la tajir na maski. Litakua kubwa snaa...
Hatua hto unayoitka wew ni nzur si mbaya ila si sasa..labda baada ya miaka 20..
Sjui wew mtoa mada umenielewa.
Kodi tunalipa 20,000 kwa mwakaView attachment 1714616
Sasa hivi kuna sera zisizo rasmi za kuwabeba ati watu "masikini".
Nawawekea mfungo hao "masikini" maana hata definition yao katika jamii hawajulinani.
Humo kuna mama lishe, machinga na wengine wengi.
Kundi hili kwa sasa, hasa jiji la DSM, limeendekeza uchafuzi wa mazingira mkubwa sana.
Tatizo la hao "masikini" wamepewa open cheque ya kufanya lolote wanalotaka Jijini.
Wanaweza fungua biashara popote
Wanaweza kwenda haja popote
Wanaziba mitaro ya maji ya mvua
Hawazoi taka zao
Hawalipi kodi yoyote
Hawataki kudhibitiwa kwa aina yoyote ile kiutaratibu.
Walijengewa Machinga Complex kule Ilala lakini wako wanang'ang'ania barabarani
Kiujumla hawa "masikini" wanaweza kuwa mtaji wa kisiasa lakini ni kero kubwa kwa watendaji Jijini.
Hili sasa limesha kuwa tatizo la kisiasa.
Hawa ni aina ya watu wanakuambia "unataka kukaa mjini peke yako?"Kifupi. Huijui dunia. Hujafika China wala kwenye nchi za Asian Tigers. Muhimu zaidi huhitaji kwenda huko. Taarifa nyingi zinapatikana kupitia vyanzo vya kuaminika duniani kote. Unahitaji tu kuwa makini (serious), mkweli na mtafutaji mzuri wa taarifa. Pia uwe na uwezo mzuri wa uchambuzi wa uchumi mpana (macroeconomic analysis). Halafu uone kama mpangilio tulio nao hapa unalingana na China na huko kwingine. Kama kuna umachinga holela kabisa kama tulio nao hapa. Kama huo umachinga ndio uliowapaisha. Tafuta habari za China hata za enzi za Mao uone walikuwa wapi kiteknolojia.
Ukitaka kupata ushindi wa kisiasa hapa JF unaweza kubisha vyovyote unavyotaka. Lakini ukweli utabaki palepale.
Sidhani kama anaelewa vizuri maana ya umaskini na cycle of poverty.Ninyi ndo mnapotosha hata maana ya umasikini na namna ya kuutatua.
Hao machinga mbona hamuwaruhusu wapanga bidhaa zao kati kati ya barbara ili wapate sehemu nzuri zaidi kuuza bidhaa zao.
Waange kwa mfano barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Bagamoyo rd, Morogoro rd!
Hapo huksi wateja wa kumuondolea machinga umasikii!
Lakini ndio miji inavyopaswa kuendeshwa?
Its a very parohial view ya kutatua umaikini , ati kuruhusu masikini wafanye wapendalo, kwa vile tu ni mtaji wa kisiasa, na wanajipatia chochote.
Ok! sasa mitaro jijini imejaa taka za achinga, nani aksafishe ?
Hii Tanzania tunawapenda masikini? au tunauchukia umasikini?
Na tuna sera zipi kutatua tatizo hili?
Kama mtu hana solution ya kutatua matatizo, kuyaruhusu kushamiri nalo ni tatizo.
Leo vijana masikini wanafurika jijini bila kikwazo, tunataka wote wawe machinga na mama lishe?
Na pengine kutatua tatizo la ajira nchini ni watu kufurika jijini Darna kuanzisha banda kando kando aua katikati ya barabara?
Its a very poor foresight.