Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kuwaponda, ukweli miji imehraribiwa na wanaoogopa kunyimwa kuraNdo nikuulize wewe unaewapondea masikini
Msimamo huu unalindwa na sheria ipi?'Waacheni hawa ndio walinipa kura'
Poleeeeh basMkuu hili sasa hivi ni tatizo kubwa sana hasa jijini Dar.
Machinga anauza nguo mbele ya duka lako , wewe unalipa kodi zote yeye halipi hata senti tano.
Na mama lishe pembeni kaweka jiko la mkaa au kuni anapika , thubutu umguse.
Wote wana chafua mazingira , hakuna wa kuwachukulia hatua.
Tunaingia sasa katika Jiji la magonjwa, uchafu, na kutoelewn kibiashara.
Kenya kuna maskin wakutwa usifananishe na Tz..kenya maskini ni weng mno.waale wakutisha...sabba ya ubepar. Tatzo kuna maskin lakin si kama wa kenya...nenda kenya north kwenye ukame kule. Wamesahaulika kabisaaa..sabab ya ubepari...mim nimekaa lagos miez miwil...afadhali ya dar..we unajua nin...Nchi yenye vijana karibia 70% halafu karibia wote ni machinga na bodaboda! Ujue km nchi kuna sehemu tunafeli, tunapaswa kujiuliza tumekosea wapi?
Kenya Tu! Hpo jirani yetu hta hajatuzidi Sana kiuchumi lakini mbona taratibu za mipango miji hazina changamoto km hpa kwetu?
Tuwe wakweli na tuache kutetea upuuzi kwa kisingizio cha umaskini.
Hujui chochote..nenda kwenye historia halaf chambua..utajua ubepar ume play vip pale. Mim ndomana stak argue na akil ndogo ambae unataka tafuniwa kila kitu..inaelekea hata darasan ulikua na tabu sanaWe jamaa ni muongo Sana na propagandist uliyekubuhu !
Kuchinjana Rwanda na ubepari vinahusiana vipi?
Unaongea na mtu anaetengeneza 800k a week out of his salary ujue...na alieajiri vijana zaid ya 14...na anaendelea kuajir day by day...wee umekaa kwenye keyboard utanambia nn kuhusu uchumi..unajua nin...mnataka apply modern economy kwenye taifa maskin dunian...mnataka ku force na kudanganya principle za uchumi...ukiforce uchumi wa uongo lazima ukuaibishe..ndomana vi nchi vinavyojifanyaga vina apply hzo principle vinakuaga na matajir wachache waliishika uchumi wa nchi nzima na weng kubak maskin...si ushetan huo...ndo mnataka hvyo?Ahhh kumbe ndio maana unatetea huu uozo wa uharibifu wa miji yetu.
Mkuu sheria zinachelewesha maendelo. Ndio maana wale wa Kimara nyumba zao zikabomolewa, lakini wale wa Mwanza wakaachwa. Hapa hatuangalii sheria bali maslahi ya kisiasa.Msimamo huu unalindwa na sheria ipi?
Yaani kuruhusu wapiga kura kuvunja sheria za wazi za mipango miji?
Usimuulize yeye jiulize wewe je, kukuruhusu kufanya biashara katikati ya barabara kutakuondolea umasikini wako? Umeruhusiwa ili ulale usiibughuzi serikali kuhusu mipango thabiti ya maendeleo, haujiulizi ni vipi serikali ikubali kukosa mabilioni ya kodi za biashara ikikukumbatia unayelipa shs 20,000/= zisizokuwa na risiti! Amka.Ndo nikuulize wewe unaewapondea masikini
Hakuna machinga au mama lishe aliye epuka umasikini... Biashara zao zinawafanya masikini siku nenda rudi.
Kuna wamama tangu nasoma chekechea mpk leo bado wanauza vitumbua na maisha yao yako Vilevile.
Serikali haina mbinu za kuondoa umasikini
We Una maslahi na uharibifu unaofannywa kwenye miji yetu so lazima uteteeUnaongea na mtu anaetengeneza 800k a week out of his salary ujue...na alieajiri vijana zaid ya 14...na anaendelea kuajir day by day...wee umekaa kwenye keyboard utanambia nn kuhusu uchumi..unajua nin...mnataka apply modern economy kwenye taifa maskin dunian...mnataka ku force na kudanganya principle za uchumi...ukiforce uchumi wa uongo lazima ukuaibishe..ndomana vi nchi vinavyojifanyaga vina apply hzo principle vinakuaga na matajir wachache waliishika uchumi wa nchi nzima na weng kubak maskin...si ushetan huo...ndo mnataka hvyo?
We jamaa liongo sanaHujui chochote..nenda kwenye historia halaf chambua..utajua ubepar ume play vip pale. Mim ndomana stak argue na akil ndogo ambae unataka tafuniwa kila kitu..inaelekea hata darasan ulikua na tabu sana
Unakubali Kenya ni maskini lakini huu upuuzi unaoendelea TanzaniaKenya kuna maskin wakutwa usifananishe na Tz..kenya maskini ni weng mno.waale wakutisha...sabba ya ubepar. Tatzo kuna maskin lakin si kama wa kenya...nenda kenya north kwenye ukame kule. Wamesahaulika kabisaaa..sabab ya ubepari...mim nimekaa lagos miez miwil...afadhali ya dar..we unajua nin...
Leo magazeti ya Gardian na Nipashe yameonyesha vema tatizo lenyewe.We Una maslahi na uharibifu unaofannywa kwenye miji yetu so lazima utetee
Biashara zifanyike na taratibu zifuatwe na sio mambo kufanyika kiholela km unavyotetea
wakiandika ukweli wanaambiwa 'wanatumiwa na mabeberu' sijui kwanini tunaogopa hivyo ukweli! Utafikiri shetani kaweka kambi Tz.Leo magazeti ya Gardian na Nipashe yameonyesha vema tatizo lenyewe.
Wanasiasa wanaimba quality for money halafu wanatetea uozo.
Hakuna njaa Tanzania.Tunatibu njaa kwanza umaridadi baadae, watu wetu wakisha shiba