Sera za kuwabeba "masikini" zinaua miji

Sera za kuwabeba "masikini" zinaua miji

Mkuu hili sasa hivi ni tatizo kubwa sana hasa jijini Dar.

Machinga anauza nguo mbele ya duka lako , wewe unalipa kodi zote yeye halipi hata senti tano.

Na mama lishe pembeni kaweka jiko la mkaa au kuni anapika , thubutu umguse.
Wote wana chafua mazingira , hakuna wa kuwachukulia hatua.

Tunaingia sasa katika Jiji la magonjwa, uchafu, na kutoelewn kibiashara.
Poleeeeh bas
 
Nchi yenye vijana karibia 70% halafu karibia wote ni machinga na bodaboda! Ujue km nchi kuna sehemu tunafeli, tunapaswa kujiuliza tumekosea wapi?

Kenya Tu! Hpo jirani yetu hta hajatuzidi Sana kiuchumi lakini mbona taratibu za mipango miji hazina changamoto km hpa kwetu?

Tuwe wakweli na tuache kutetea upuuzi kwa kisingizio cha umaskini.
Kenya kuna maskin wakutwa usifananishe na Tz..kenya maskini ni weng mno.waale wakutisha...sabba ya ubepar. Tatzo kuna maskin lakin si kama wa kenya...nenda kenya north kwenye ukame kule. Wamesahaulika kabisaaa..sabab ya ubepari...mim nimekaa lagos miez miwil...afadhali ya dar..we unajua nin...
 
We jamaa ni muongo Sana na propagandist uliyekubuhu !

Kuchinjana Rwanda na ubepari vinahusiana vipi?
Hujui chochote..nenda kwenye historia halaf chambua..utajua ubepar ume play vip pale. Mim ndomana stak argue na akil ndogo ambae unataka tafuniwa kila kitu..inaelekea hata darasan ulikua na tabu sana
 
Ahhh kumbe ndio maana unatetea huu uozo wa uharibifu wa miji yetu.
Unaongea na mtu anaetengeneza 800k a week out of his salary ujue...na alieajiri vijana zaid ya 14...na anaendelea kuajir day by day...wee umekaa kwenye keyboard utanambia nn kuhusu uchumi..unajua nin...mnataka apply modern economy kwenye taifa maskin dunian...mnataka ku force na kudanganya principle za uchumi...ukiforce uchumi wa uongo lazima ukuaibishe..ndomana vi nchi vinavyojifanyaga vina apply hzo principle vinakuaga na matajir wachache waliishika uchumi wa nchi nzima na weng kubak maskin...si ushetan huo...ndo mnataka hvyo?
 
Msimamo huu unalindwa na sheria ipi?
Yaani kuruhusu wapiga kura kuvunja sheria za wazi za mipango miji?
Mkuu sheria zinachelewesha maendelo. Ndio maana wale wa Kimara nyumba zao zikabomolewa, lakini wale wa Mwanza wakaachwa. Hapa hatuangalii sheria bali maslahi ya kisiasa.

Pale Arusha kabla machinga kupata mtetezi jiji lilishakuwa safi kabisa. Leo barabara hazipitiki machinga wamejazana barabarani na bidhaa zao, sehemu ya kukatiza na gari dk 2 unakwama hata saa nzima. Una duka mbele yako machinga wametandika bidhaa zao, mteja hana njia ya kuingia dukani kwako, na wana bidhaa zilezile zilizopo dukani kwako. Na kila uchao tra wanawaruka wanapiga hodi dukani kwako.
 
katika bara zima la Afrika hawa machinga wapo Tanzania na Congo DRC pekee
 
Ndo nikuulize wewe unaewapondea masikini
Usimuulize yeye jiulize wewe je, kukuruhusu kufanya biashara katikati ya barabara kutakuondolea umasikini wako? Umeruhusiwa ili ulale usiibughuzi serikali kuhusu mipango thabiti ya maendeleo, haujiulizi ni vipi serikali ikubali kukosa mabilioni ya kodi za biashara ikikukumbatia unayelipa shs 20,000/= zisizokuwa na risiti! Amka.
 
Umaskini siku zote ni mtaji kwa watawala
Hakuna machinga au mama lishe aliye epuka umasikini... Biashara zao zinawafanya masikini siku nenda rudi.

Kuna wamama tangu nasoma chekechea mpk leo bado wanauza vitumbua na maisha yao yako Vilevile.

Serikali haina mbinu za kuondoa umasikini
 
Unaongea na mtu anaetengeneza 800k a week out of his salary ujue...na alieajiri vijana zaid ya 14...na anaendelea kuajir day by day...wee umekaa kwenye keyboard utanambia nn kuhusu uchumi..unajua nin...mnataka apply modern economy kwenye taifa maskin dunian...mnataka ku force na kudanganya principle za uchumi...ukiforce uchumi wa uongo lazima ukuaibishe..ndomana vi nchi vinavyojifanyaga vina apply hzo principle vinakuaga na matajir wachache waliishika uchumi wa nchi nzima na weng kubak maskin...si ushetan huo...ndo mnataka hvyo?
We Una maslahi na uharibifu unaofannywa kwenye miji yetu so lazima utetee

Biashara zifanyike na taratibu zifuatwe na sio mambo kufanyika kiholela km unavyotetea
 
Hujui chochote..nenda kwenye historia halaf chambua..utajua ubepar ume play vip pale. Mim ndomana stak argue na akil ndogo ambae unataka tafuniwa kila kitu..inaelekea hata darasan ulikua na tabu sana
We jamaa liongo sana
 
Kenya kuna maskin wakutwa usifananishe na Tz..kenya maskini ni weng mno.waale wakutisha...sabba ya ubepar. Tatzo kuna maskin lakin si kama wa kenya...nenda kenya north kwenye ukame kule. Wamesahaulika kabisaaa..sabab ya ubepari...mim nimekaa lagos miez miwil...afadhali ya dar..we unajua nin...
Unakubali Kenya ni maskini lakini huu upuuzi unaoendelea Tanzania
 
We Una maslahi na uharibifu unaofannywa kwenye miji yetu so lazima utetee

Biashara zifanyike na taratibu zifuatwe na sio mambo kufanyika kiholela km unavyotetea
Leo magazeti ya Gardian na Nipashe yameonyesha vema tatizo lenyewe.
Wanasiasa wanaimba quality for money halafu wanatetea uozo.
 
Hata mkulu anajua kwamba Machinga wengi ni matokeo ya ukwepaji kodi kwa wafanya biashara wakubwa kwani wakitoa mzigo bandarini wanaweka stoo kisha wanatafuta Machinga wanawauzia.sasa sijui anakusanyaje kodi.
 
Imekuwa kero sasa kwani hata maeneo ya wapita kwa miguu hakuna tena! Hili ni bomu na kuja kuwaondoa itakuwa vita kubwa sana. Mitaro ya maji wameiharibu kabisa kwa kuweka mambao ya biashara juu na mingine kuifukia!
 
Tunatibu njaa kwanza umaridadi baadae, watu wetu wakisha shiba
 
Back
Top Bottom