Sera za kuwabeba "masikini" zinaua miji

Sera za kuwabeba "masikini" zinaua miji

Tangu lini ccm ikawatayari kuondoa umaskini wa watu? Hao maskini ni mtaji wa siasa wa maccm

Utoke kwenye umaskini Ili usiwachague? Haiwezi tokea
 
Hili tatizo limetengenezwa na vyama vyote vya siasa hapa nchini.

Kuna wamachinga, wapiga debe na boda boda.

Haya ni mambo ambayo vyama vyetu vya siasa vimeamua tuyabebe.
 
Bro wew ndio mshamba...sbaba akil yako bado haijachanganua mambo katika ukwel...hauna logical thinkin...

Chukua picha za zaman za familia yenu alizopiga baba ako na mama ako na nyie watoto..halaf ziangalie...utaona mambo meng ambayo kwa sasa una wish ungerekebisha kwenye picha hzo..kama makochi..shaby cloths..hata mitindo ya nywele .well kwa wakat huo vilifana sana ila kwaa sasa hapana huwez piga picha nmna hyo. Same to tunachokiongelea hapa.. wakat bado..narudia tena.wakat bado..hatunafikia level hyo ya civilization na city planning..na ndomana wanasema kinachofanya waafrica tusiendelee ni utandawaz..yaan tuna practice njia za uchum za nchi ambazo zmetupita au tuko nyuma mara 500...mnaacha kufanya sustainable farming kama uti wa mgongo mnahamia kwenye modern economy..sjui hik mara kile. Sabba watu weusi hatuna akil..ndo wewe sada mtoa.mada..huwez nielewa sabab ubongo wako hauwez chakata nachoongea..ila ukikakaa na kutulia utanielewa...

Ndio alichoongea rais juz umeka stand ya mabas ya kisasa mbez.wateja wa hayo mabasi ni watu maskin..unawawekea restaurant za maelfu ya pesa ya chakula..hiv kwel kuna akil .na hapo unawazuia wauza vyakula vya kawaida..hata mahind na apple wasiingie ndan ..una akil kwel. Sasa mtoa mada ndo watu wenye akil kama hyo...ni sawa na mfanya biashara mwenye malengo kwenda kuuza baga buguruni...ni upumbafu...ncho yetu bado haijafika huko...machinga na wafanya biashara wa hovyo wa holela lazima wawepo...kadiri maendeleo yanavyokuja.wataji sort wenyew na wataondoka..we unafkir wanakaa barabaran wanamuuzia nan..hao hao unaowaona matajir wa kwenye magar ndo wanunuz wakubwa.so uchumi badoo sana mjinga wew sikujib tena sbabu naona huna akil
Acha siasa ndugu, hakuna nchi isiyokua na utaratibu. Serikali inakwepa lawama na kuchukua point kwa watu wanaoitwa 'masikini' nchi haiwezi kuendelea kwa wauza ugali dagaa stand..
Hatukatai wafanya biashara wadogo duniani kote wapo ila kuna utaratibu wa biashara... Stand ni stand, barabara ni barabara

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
Basi inaelekea mada yenyewe wala huielewi na soma vizuri hizo commas za "masikini".

Tanzania tuna tatizo la kukurupuka kupata quick-fix solutions wakati source ya tatizo hatulielewi.

Mis-guided sympathy, ati kuwaonea huruma "masikini" ndio kuna attrack matatizo mengi zaidi badala ya kudeal na tatizo lenyewe la kuondoa umasikini.
Vijana hawana Ajira Sera za kuwahusisha na Kilimo na Ufugaji hakuna. Rural to Urban Migration ni kubwa na haina udhibiti. Uzazi wa mpango hautiliwi maanani. Chokoraa na ombaomba kila Kona. Matumizi ya Barabara na Sidewalk hayazingatiwi. Barabara tunazijenga Kwa Billions zinaishia kuweka majiko ya Mishikaki, Chips, mahindi Choma na Mama ntilie. Watu wanakula ovyo popote. Kila Kijana akiibuka ni Bodaboda na Bajaji. Posta umekuwa kama Mbagala. Haki za Watembea Kwa Miguu Maskini wenzao zimesahaulika. Ukitaka kuona Uchafu na Side effect ya Maskini DSM Nenda kituo cha Mabasi kilichohamwa!!!
 
Hili suala jamani Serikali ilifanyie kazi.Ni miji yote nchini.Miji imeharibika.Utafutwe utararibu mwingine Hii ya kutandaza bidhaa barabani siyo
 
Back
Top Bottom