The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Hujamwelewa mleta mada...Ndo nikuulize wewe unaewapondea masikini
Pengine hata wewe hujui hata definition ya "masikini" ni nani..
Hebu rudia tena kumsoma jamaa, pengine utamwelewa sasa....
Ukishaelewa, tuambie sera za serikali kupunguza umaskini na masikini ni zipi...
Je, ni hivi serikali inavyofanya sasa kuruhusu mambo kufanyika hovyo hovyo pasipo kufuata utaratibu...?
Hili siyo tatizo la DSM tu bali karibu miji yote Tanzania...
Njoo ktk jiji la Mwanza au Arusha, hali ni ileile...