Serena Williams afunga ndoa na Alexis Ohanian

Ha ha ha hivi mnajua wanaume huwaga ni vegeugeu kwenye choices..ndo nasikia wenzio wa kule walikua wanampa shades za ukomavu..ila wewe kaka angu wa huku ume mind mzigo...[emoji23] muzungu ndo keshakupiku anaenda kukamatia chini.
achukuwe tu, aliwapata hawa Men Who Serena Williams Has Dated hawakuweza mzigo..
Mwacheni achukuwe chake..
 
Dah uyo mzungu hzo nyonyo ataziweza kwel au ndo atakua anasaidiwa na blacks
 
Gharama za hili gauni ni milioni 700[emoji4][emoji4]
 
Nilidhani Serena hotel
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Majungu unayo wewe ndo maana hujiamini. Mi nimeuliza kwa uzuri sababu kila Sikh anaonekana msichana tena mrembo. Mi nampenda sana. Kazi kwako we usiejiamini mwenyewe majungu. Hujui umri wake ungrpiga kimya mkuu, acha porojo
Like wise hata mimi ningependa kujua umri wake. Maana tangu utotoni namuona yuko hivyo. Mwambie mzee wa porojo Kama ni majungu acha yawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…