Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Hapo utafikiri serena ndio mwanaume [emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
achukuwe tu, aliwapata hawa Men Who Serena Williams Has Dated hawakuweza mzigo..Ha ha ha hivi mnajua wanaume huwaga ni vegeugeu kwenye choices..ndo nasikia wenzio wa kule walikua wanampa shades za ukomavu..ila wewe kaka angu wa huku ume mind mzigo...[emoji23] muzungu ndo keshakupiku anaenda kukamatia chini.
Nyonyo limepigwa jeki ya mikono kimtindo![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] mambo namna gani tena
![]()
Ndio kaolewa sasa pasuka basiHapo utafikiri serena ndio mwanaume [emoji23][emoji23]
Angekuwa na SURA kama ya huyu aliyeleta hii taarifa, ANGEPENDEZA zaidi!Hivi ana miaka mingapi huyu dada
Gharama za hili gauni ni milioni 700[emoji4][emoji4]Serena Williams amefunga ndoa na mwanzilishi mwenza wa Reddit Alexis Ohanian katika harusi kubwa iliojaa mbwembwe za aina yake ya mwaka huu.
Nyota akiwemo Beyonce, Kim Kardashian na Eva Longoria walikuwa katika harusi hiyo iliofanyika katika eneo la New Orleans siku ya Alhamisi.
Sherehe hiyo ilikuwa na wageni 200 katika orodha ya wageni kulingana na vyombo vya habari.
Eneo moja kubwa la mji lilifungwa kwa sherehe hiyo ambayo ilifanyika katika kituo cha Contemporary Arts Center.
Wageni wengine ni pamoja na nyota Caroline Wozniack, Kelly Rolland ,Ciara, La La Anthony na muhariri wa jarida la Vogue Anna Wintour kulingana na gazeti la daily mail.
Limeripoti kwamba harusi hiyo iligharimu dola milioni 1 huku wageni wakiagizwa kutoingia na simu zao kutokana na mkataba na jarida la Vogue.
View attachment 632724
Serena alijifungua mtoto wao wa kwanza wa kike Alexis Olympia, miezi miwli iliopita.
hahahaaHivi ana miaka mingapi huyu dada
Hahahaha nimecheka sana. Mi mwenyewe namskia tokea hizo enzihahahaa
tangu nikiwa darasa la pili namsikia tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilidhani Serena hotel
Thank you NumbisaAna miaka 36
Hahahaaaa na ana nguvu ya kusmile.......huku si kufa na fashion bali kumtaka bwanaharusi akudai mahali yake ghafla[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] mambo namna gani tena
![]()
Ooooh mwee nilikuwa sifahamuHarusi za wenye pesa wanabadili hata mara 4-5 mkuu
kwanini wazungu sikuhizi wamekua wanapenda sana wanawake waeusi.
Like wise hata mimi ningependa kujua umri wake. Maana tangu utotoni namuona yuko hivyo. Mwambie mzee wa porojo Kama ni majungu acha yaweMajungu unayo wewe ndo maana hujiamini. Mi nimeuliza kwa uzuri sababu kila Sikh anaonekana msichana tena mrembo. Mi nampenda sana. Kazi kwako we usiejiamini mwenyewe majungu. Hujui umri wake ungrpiga kimya mkuu, acha porojo