Serengeti: Amuingizia mkewe panga sehemu za siri

Serengeti: Amuingizia mkewe panga sehemu za siri

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Jeshi la polisi mkoani Mara limekiri kumshikiria Gimusi Murimi 42 mkazi wa wilaya ya Serengeti kwa kumjeruhi mkewe kwa kumuingizia panga sehemu za siri kwa kumtuhumu kuchepuka wakati yeye akiwa hayupo nyumbani.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mara RPC Tibishubwamu amesema mtuhumiwa huwa anaishi mkoani Geita mji wa Katoro anakofanya kazi zake kwa mara nyingi huitembela familia, Sasa tarehe 25th mwezi huu alipofika nyumbani kwake akabaini mkewe amekuwa sio mwaminifu kwenye ndoa hiyo amekuwa akichepuka yeye akiwa hayupo na kuanza kumshambulia kwa fimbo na baadae kumwingizia panga sehemu za siri na kumuumiza sana .

Mwathirika wa shambulio yupo hospitali akipatiwa matibabu huku jeshi likimshikiria mtuhumiwa huku uchunguzi ukiendelea

USSR
 
Dah, goli limekuwa kuuubwaaa balaa. Ni mwendo risasi panga na kukata mikono. Kuua na kuchoma moto ref jamaa wa kigamboni
 
Mhh, Watu wa Mara hasa Wakurya ni Makatili Sana.

Matukio yote scary huwa yanatokea huko, na bila serikali kuingilia kati wala jamii haitajali.
 
Back
Top Bottom