Serengeti: Amuingizia mkewe panga sehemu za siri

Serengeti: Amuingizia mkewe panga sehemu za siri

Jeshi la polisi mkoani Mara limekiri kumshikiria Gimusi Murimi 42 mkazi wa wilaya ya Serengeti kwa kumjeruhi mkewe kwa kumuingizia panga sehemu za siri kwa kumtuhumu kuchepuka wakati yeye akiwa hayupo nyumbani.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mara RPC Tibishubwamu amesema mtuhumiwa huwa anaishi mkoani Geita Katoro anakofanya kazi zake kwa mara nyingi huitembela familia, Sasa tarehe 25th mwezi huu alipofika nyumbani kwake akabaini mkewe amekuwa sio mwaminifu kwenye ndoa hiyo amekuwa akichepuka yeye akiwa hayupo na kuanza kumshambulia kwa fimbo na baadae kumwingizia panga sehemu za siri na kumuumiza sana .

Mwathirika wa shambulio yupo hospitali akipatiwa matibabu huku jeshi likimshikiria mtuhumiwa huku uchunguzi ukiendelea

USSR
dah, pole zake, uo uchu ulikuwa mpana kiasi gani hadi panga linaingia. ila sisi wanaume tupo type za ajabu, kuna wenzetu wakatili kupita wanyama.
 
Mhh, Watu wa Mara hasa Wakurya ni Makatili Sana.

Matukio yote scary huwa yanatokea huko, na bila serikali kuingilia kati wala jamii haitajali.
Ukileta ufala huku tunakunyonya macho.mambo ya diplomasia kwenye mapenzi tumewaachia nyie mazezeta wa pwani huko
 
Mhh, Watu wa Mara hasa Wakurya ni Makatili Sana.

Matukio yote scary huwa yanatokea huko, na bila serikali kuingilia kati wala jamii haitajali.
Wewe Mwenyewe sio mstarabu. Aliekukaririsha kuwa wote ni wakatili ni Nani? Shame on you.
 
Watani zangu watu wa Mara - hasa wakurya kiasili si watanzania ni wakenya, ndio sababu hawana tabia za kitanzania.
 
Hii ya kuingiza panga ni bora tu mabint wa dar, wasiione maana ikianza kutrend kwenye mitandao huku wanaselfika itapelekea mapanga kupanda sana bei.
 
Dah! Hili hatujakubaliana kwenye kikao jamani,Ni maamuzi binafsi....Huku ni kuwanyima haki wanaume wenzako wakati we upo Jela,Haikubaliki hii.
 
Back
Top Bottom