Serengeti beer, sticker label yenu mpya ni ya hovyo!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594

Waambieni huko Chang'ombe kiwandani Serengeti beer, sticker mpya za chupa za beer yenu hazipendezi.

Sasa hivi chupa hiyo ya sticker ya njano utafikiri kifungashio cha togwa!

Kiwanda cha Serengeti warudishe sticker za zamani, ama sivyo narudi kunywa Mtikila!
 
Niko napiga Hans'sons choice yangu na kuna jamaa yuko hapa pembeni yangu anakunywa hiyo inafanaa na balimi
 
Halafu ile chupa kubwa ya njano ina ukali tofauti na chupa ndogo? Mbona hii kubwa yenye stika mpya inalewesha sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…