Eswa
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 231
- 617
Taste ya Serengeti lite imekuwa tofauti sana na ile ya awali, taste yake ni mbaya, siku hizi nikifika Bar naulizia kama zipo zile za zamani kama zimebaki hata 5 nalipia zote naishi nazp, kama hakuna ni bora nikajinywea zangu konyagi kule haya mataputapu waliyoleta.