Serengeti beer, sticker label yenu mpya ni ya hovyo!

Serengeti beer, sticker label yenu mpya ni ya hovyo!

Stika hii na ile ya kijani ambayo haujaionesha zimeandaliwa na CCM kwa ajili ya uchaguzi.
Umeona eeeh Mkuu, wanasubiri kipindi kile cha kuhonga kanga sasa wamekuja na rushwa kwa wanaume, unagongwa kreti zako 5 unabadilishana na kura yako, shenzi kabisaa hawa
 
Mimi mwana CCM lakini ile pimbi ya kijani sinywi!
😹😹🤣🤣🤣 wakati wameweka kwaajili yenu na kuja kuiba kura kwa wadanganya wana, maana mwanzo ilikuwa kanga tu, mtu wa kampeni kawa mbunifu sasahivi kuwashika na wana😆
 
Unakunywa bia au sticker mjomba.
Sticker ni sehemu ya kumvutia mteja na kuweka brand vizuri, ikiwa mbaya inashusha stimu... wewe kama unatoka Serengeti jua tu mmeboronga... stika libaya... rangi za CCM za nini sasa? Hoja zinawashinda sasa mkaona mje mtukamate na rushwa za bia!
 
Sijakutana nayo bado tho jana nimekunywa ila ilikuja ile ile ya zamani, wamezingua sana zikikata za mwanzo nitakunywa safari tuu.
 
Back
Top Bottom