Serengeti beer, sticker label yenu mpya ni ya hovyo!

Taste ya Serengeti lite imekuwa tofauti sana na ile ya awali, taste yake ni mbaya, siku hizi nikifika Bar naulizia kama zipo zile za zamani kama zimebaki hata 5 nalipia zote naishi nazp, kama hakuna ni bora nikajinywea zangu konyagi kule haya mataputapu waliyoleta.
 
Shida sio sticker tu, shida ni kwamba hata ukali wa kulewesha dizaini umepungua iyo serengeti lager yenye sticker ya njano ni kama imechakachuliwa unakunywa haulewi.

NB: iyo mtikilia ni bia gani mkuu maana sijawahi kuisikia?
 
Mtikila ni Safari Lager, ukinywa tatu tu utaongea sera zote zilizomo kichwani!
 
Stika hii na ile ya kijani ambayo haujaionesha zimeandaliwa na CCM kwa ajili ya uchaguzi.
 
Aisee kweli utafikiri chibuku warudishe hile ya zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…