Serengeti beer, sticker label yenu mpya ni ya hovyo!

Stika hii na ile ya kijani ambayo haujaionesha zimeandaliwa na CCM kwa ajili ya uchaguzi.
Umeona eeeh Mkuu, wanasubiri kipindi kile cha kuhonga kanga sasa wamekuja na rushwa kwa wanaume, unagongwa kreti zako 5 unabadilishana na kura yako, shenzi kabisaa hawa
 
Na zinapikwa hovyo nasikia zinaleta nyongo balaa hizo lebo mpya...
 
Unakunywa bia au sticker mjomba.
Sticker ni sehemu ya kumvutia mteja na kuweka brand vizuri, ikiwa mbaya inashusha stimu... wewe kama unatoka Serengeti jua tu mmeboronga... stika libaya... rangi za CCM za nini sasa? Hoja zinawashinda sasa mkaona mje mtukamate na rushwa za bia!
 
Sijakutana nayo bado tho jana nimekunywa ila ilikuja ile ile ya zamani, wamezingua sana zikikata za mwanzo nitakunywa safari tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…