Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
serengeti boys ndio kitu gani jamani?Bado kaka zao
Hahahahahahaha kuunga mkono juhudi za mtukufuBongo ni mabingwa wa umbeya,majungu,kuunga mkono juhudi,unafiki ,ngono ndo machampion
View attachment 1076780 #TotalAFCONU17. Rekodi ya Serengeti Boys katika fainali hizo:
Aprili 14: Tanzania 4-5 Nigeria
Aprili 17: Uganda 3-0 Tanzania
Aprili 20: Tanzania 2-4 Angola
Kina Shafii walikuwa wanawasifia ujinga mara Marcelo mara kelvin mbappeNdiyo matokeo ya kucheza mpira kwenye Magazette.
Soka la kisasa ni maandalizi toka chini, mfumo wetu bado sana, wachezaji hawa wameiburiwa toka clinic za kubain vipaji halaf ndiyo timu inaundwa, wakati wenzetu wanaendeleza vipaji, watoto wale wamelelewa academy toka miaka 7,wana mbinu, afya na mifumo wanaijua, walati sisi tunaamin katika vipaji tu,Kina Shafii walikuwa wanawasifia ujinga mara Marcelo mara kelvin mbappe