Serengeti boys yaaga mashindano kwa kapu la magoli

Serengeti boys yaaga mashindano kwa kapu la magoli

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
24,314
Reaction score
38,919
1076780
#TotalAFCONU17. Rekodi ya Serengeti Boys katika fainali hizo:

Aprili 14: Tanzania 4-5 Nigeria
Aprili 17: Uganda 3-0 Tanzania
Aprili 20: Tanzania 2-4 Angola
 
Hawa watoto tuwatie moyo wamejitahidi sana kundi lao lilikuwa gumu sana kuliko makundi yote"kasema kocha wao
 
Kina Shafii walikuwa wanawasifia ujinga mara Marcelo mara kelvin mbappe
Soka la kisasa ni maandalizi toka chini, mfumo wetu bado sana, wachezaji hawa wameiburiwa toka clinic za kubain vipaji halaf ndiyo timu inaundwa, wakati wenzetu wanaendeleza vipaji, watoto wale wamelelewa academy toka miaka 7,wana mbinu, afya na mifumo wanaijua, walati sisi tunaamin katika vipaji tu,
Hapa si suala la kocha, lazima tuwe na academy nyingi za watoto toka miaka 7.
 
Dah! Hawa watoto wameshindwa kupata hata pointi moja kwenye ardhi ya taifa lao kweli Tz tunahitaji uwekezaji mkubwa kwenye michezo
 
Huyu Kocha walimtoa wapi ? Alikuwa akifundisha wapi? Amekuwa akirudia makosa yale yale mechi zote tatu. Dunia nzima tff wamemuona huyo Kocha ndiyo bora kuliko wote ??🤔🤔🤔🤔🤔🤔
Imekuwa aibu badala ya furaha
 
Back
Top Bottom