Tatizo la nchi yetu ni kwamba Watu walioko juu kwenye maswala ya michezo hawana uchungu na nchi afu cha pili hawana idea kuhusu mpira kwa mfano huyu rais mpya wa tff hajui chochote anaonekana tu ameingia pale kwa malengo yake mengine..kama kweli mtu angekuwa na uchungu wa hii nchi na ana idea ya mpira lazma mtu akiingia pale atafute mbinu za kutaka kupata asilimia 80% ya vipaji vilivyopo nchi nzima sisi tumeshakalili tu kwamba wachezaji au vipaji vipo mwanza na dar lakn ukwli ni kwamba Tz kuna vipaji sana kama huko senegal, ivory coast, nigeria Ghana na kwingineko ila viongozi walioko mbele yetu hawafikirii hilo..Tz kuna watu wanapiga mpira balaa acheni tu.