Serengeti: Catherine Ruge wa BAWACHA akamatwa na polisi

Serengeti: Catherine Ruge wa BAWACHA akamatwa na polisi

Kuna tyme hata mm niliiona hii tweet mtandao, Binafsi sifungamani na upande wowote ila sikupenda lugha aliyo tumia kuwasilisha ujumbe wake kwa polisi

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Hiki chama ni cha wachaga ila watu wa mara wamejipa umuhimu sana matokeo yake ndio aya
 
Ko unakubaliana na maneno ya Ruge polisi wa Tanzania ni vibaka na majambazi? Ko hata CDM wakiongoza serikali ingawa siyo leo wanadhani watakuja na polisi wao eti?
Wewe ndio umesema polisi 'wa Tanzania' wala sio yeye.
 
Wacha aliwe hana adabu. Haya ndio wanawake ya CHADEMA havina sifa ht ya kuolewa vya hovyo hovyo. Angalia vile Covid-19 wameolewa wangapi. Walioolewa wana ndoano
Ww mwenye sifa za kuolewa,ukitolewa inatosha wacha wengine wadange.
 
Yaani kama vijana wetu ni wajinga hivi tutashindana vipi na nchi jirani ambazo vijana wao kama Kenya wapo kwenye kuweka taifa mbele na kuendelea sisi kiki🤔
Yaani kama wewe unakunywa gongo la mavi ndio unataka kila mtu anywe ?
 
Back
Top Bottom