Serengeti: Catherine Ruge wa BAWACHA akamatwa na polisi

Serengeti: Catherine Ruge wa BAWACHA akamatwa na polisi

Chama kina watu wahuni sana hiki
FB_IMG_1574277425198.jpg
 
Hatujamkamata, tumemchukua kwaajili ya mahojiano, tunataka athibitishe juu ya tuhuma alizozitoa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari, hapo anakwenda kuhojiwa tu kisha tutamuachia na mtaendelea na mkutano wake na waandishi," amesema Tibishibwamu.
Nafikiri hili ndio jeshi la.polisi la Marekani, Kanada, ujermani na Sweden au Uk.

Ukamataji wa leo angalau u.ekidhi vigezo japo kidogo.

Ukwe mwingine wa siku zilizopita ulikuwa .......
 
Amekamatwa kwa Kuwaiti kundi la majambazi, sielewi hapa maana hawa so called majambazi ni mahakama gani iliwatia hatiani kuwa ni majambazi?,Tanzania ni shida ina elements zote za kuwa ni police state

..hajasema Tanzania hatuna jeshi la polisi...

..yeye amesema tu, hatuna jeshi la polisi...

..jeshi la Polisi lisilazimishe kwamba limetajwa au kutuhumiwa na Mh.Ruge.
 
Wacha aliwe hana adabu. Haya ndio wanawake ya CHADEMA havina sifa ht ya kuolewa vya hovyo hovyo. Angalia vile Covid-19 wameolewa wangapi. Walioolewa wana ndoano
Kwa hiyo kwako wewe kipimo cha mwanamke mwenye adabu ni kuolewa????!!!! 😐😐😐
 
Back
Top Bottom