SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Kwani uongo?Hivi huwezi toa mawazo yako pasipo matusi? Eti kundi la vibaka na majambazi, kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani uongo?Hivi huwezi toa mawazo yako pasipo matusi? Eti kundi la vibaka na majambazi, kweli?
Polisi CCM wamebaka huko Serengeti unataka atumie maneno ganiHivi huwezi toa mawazo yako pasipo matusi? Eti kundi la vibaka na majambazi, kweli?
Wanapenda kesi kesi zisizokuwa na msingiDuh.....
Chadema Wana siasa za kijinga sana
Asante kwa taarifa. Kitendo cha jeshi letu la polisi kumkamata mwanahakati kwa kosa la kusema kitu ambacho ni cha kweli, ni kumpiga teke chura!Aliepata kuwa Mbunge na Katibu wa Bawacha bi Catherine Ruge amekamatwa na Polisi Mkoani Mara.
Kwa hiyo na wewe unaunga alichokisema kathelini?Asante kwa taarifa. Kitendo cha jeshi letu la polisi kumkamata mwanahakati kwa kosa la kusema kitu ambacho ni cha kweli, ni kumpiga teke chura!
P.
Hapo sasaKama wanau hovyo, watu wasemeje?
Hivi huwezi toa mawazo yako pasipo matusi? Eti kundi la vibaka na majambazi, kweli?
Hivi kweli binadamu Mtanzania unaweza kuandika maneno ambayo hata kufikirika ni aibu!Yaani kama wewe unakunywa gongo la mavi ndio unataka kila mtu anywe ?
Kuna tyme hata mm niliiona hii tweet mtandao, Binafsi sifungamani na upande wowote ila sikupenda lugha aliyo tumia kuwasilisha ujumbe wake kwa polisi
Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
Ko unakubaliana na maneno ya Ruge polisi wa Tanzania ni vibaka na majambazi? Ko hata CDM wakiongoza serikali ingawa siyo leo wanadhani watakuja na polisi wao eti?
Kwa hiyo kwa mtazamo wako hayo maneno ni matusi! Bora hata ungesema maneno ya kuudhi, kidogo ningekuelewa!Hivi huwezi toa mawazo yako pasipo matusi? Eti kundi la vibaka na majambazi, kweli?
Alikuwa anaongelea polisi wa nchi gani? Hakuna mahali ametamka kuwa polisi wa Tanzania ni vibaka na majambaziHivi huwezi toa mawazo yako pasipo matusi? Eti kundi la vibaka na majambazi, kweli?
Nimebanwa na mafiiiiiWacha aliwe hana adabu. Haya ndio wanawake ya CHADEMA havina sifa ht ya kuolewa vya hovyo hovyo. Angalia vile Covid-19 wameolewa wangapi. Walioolewa wana ndoano
Unakumbuka Ile ya mtwara mfanyabiashara wa madini ameuliqa Tena Askari mmoja akakiri kuwa mie nimeagizwa niue ,naye Askari mwenzako wakamua kwa kusema ukweli,na je Ile ya akina zombe na wafanyabiashara waa mdini kutoka ulanga. Na Ile walimua Hamza kisa Cha kuomba hela wakanyimwa wakamtoa mzigo,iyo moja na je Ile mfanyabiashara wa kariakoo anayeitwa Ramadhani Ntuzwe ana mzigo wa mabegi tokea sauzi akapita tunduma Anazo risiti nzuri kila kitu kipo poa kufika hapa wanamuomba awatoe anawaambia Hana kitu. Huwa namaindi wao wanajionaga kisa tu Askari Basi anastahili kupewa hela ya bure.Ni majambazi kweli kweli.
Wanachukua raia wanaenda kuwaua na wanakiri wamewaua.
Kwa nini wasiwapeleke mahakamani kama wanajua wana makosa