Mo graphics 2019
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,002
- 1,483
alimaanisha police wa Nchi gani? Mbona Kama hamna kesi hapoView attachment 2366759
View attachment 2366768
Aliepata kuwa Mbunge na Katibu wa Bawacha bi Catherine Ruge amekamatwa na Polisi Mkoani Mara.
huyo nasikia Kuna ndugu yao alifia mikononi mwa polisi kwnye mazingira ya kutatanishaKuna tyme hata mm niliiona hii tweet mtandao, Binafsi sifungamani na upande wowote ila sikupenda lugha aliyo tumia kuwasilisha ujumbe wake kwa polisi
Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
Ko unakubaliana na maneno ya Ruge polisi wa Tanzania ni vibaka na majambazi? Ko hata CDM wakiongoza serikali ingawa siyo leo wanadhani watakuja na polisi wao eti?Hakuna tusi hapo mkuu
Kama wewe ulivyo mjinga na viongozi wakoDuh.....
Chadema Wana siasa za kijinga sana
Polisi yamkamata kigogo Chadema, RPC asema…
Jeshi la Polisi, Mkoa wa Mara limemkamata Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), Catherine Ruge.www.mwananchi.co.tz
Ndugu yao ni jambazi alikuwa anaua watu kwa mapangahuyo nasikia Kuna ndugu yao alifia mikononi mwa polisi kwnye mazingira ya kutatanisha
Unataka nikubaliane nae ili nije kukamatwa. Acha basi kunitega🙂Ko unakubaliana na maneno ya Ruge polisi wa Tanzania ni vibaka na majambazi? Ko hata CDM wakiongoza serikali ingawa siyo leo wanadhani watakuja na polisi wao eti?
Dah, kweli?? Kwahiyo anamtetea ndugu yao, hila isiwe wanamsingizia,japo Kama nikweli alistahili kifo kabisa shetani huyoNdugu yao ni jambazi alikuwa anaua watu kwa mapanga
Vibaka na majambazi ni tusi tangu lini?Hivi huwezi toa mawazo yako pasipo matusi? Eti kundi la vibaka na majambazi, kweli?
Ni Sawa kabisa,siku ndugu yako akiuwawa na Hawa kenge,ndio utajua,Hivi huwezi toa mawazo yako pasipo matusi? Eti kundi la vibaka na majambazi, kweli?
Wewe ndio umesema polisi 'wa Tanzania' wala sio yeye.Ko unakubaliana na maneno ya Ruge polisi wa Tanzania ni vibaka na majambazi? Ko hata CDM wakiongoza serikali ingawa siyo leo wanadhani watakuja na polisi wao eti?
Ni majambazi kweli kweli.Hivi huwezi toa mawazo yako pasipo matusi? Eti kundi la vibaka na majambazi, kweli?
Utakuwaje kabla ya kumthibitisha ni mtenda kosa ?Hivi huwezi toa mawazo yako pasipo matusi? Eti kundi la vibaka na majambazi, kweli?
View attachment 2366759
View attachment 2366768
Aliepata kuwa Mbunge na Katibu wa Bawacha bi Catherine Ruge amekamatwa na Polisi Mkoani Mara.
Ww mwenye sifa za kuolewa,ukitolewa inatosha wacha wengine wadange.Wacha aliwe hana adabu. Haya ndio wanawake ya CHADEMA havina sifa ht ya kuolewa vya hovyo hovyo. Angalia vile Covid-19 wameolewa wangapi. Walioolewa wana ndoano
Tusi liko wapi hapo?Hivi huwezi toa mawazo yako pasipo matusi? Eti kundi la vibaka na majambazi, kweli?