Hatujamkamata, tumemchukua kwaajili ya mahojiano, tunataka athibitishe juu ya tuhuma alizozitoa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari, hapo anakwenda kuhojiwa tu kisha tutamuachia na mtaendelea na mkutano wake na waandishi," amesema Tibishibwamu.