Serengeti: Tabitha Mwise asimulia jinsi Polisi walivyo Vamia nyumbani na kuvuliwa nguo mbele ya baba yake na kulazimisha afanye naye Mapenzi

Serengeti: Tabitha Mwise asimulia jinsi Polisi walivyo Vamia nyumbani na kuvuliwa nguo mbele ya baba yake na kulazimisha afanye naye Mapenzi

Polisi hawana hata akili ya kuongopa, kwamba wazee wa miaka 50+ walitoka nduki kuwazidi askari waliojaa kwenye defender mbili.Kwamba hawakuwa hata wamewafunga pingu!!!!
Kwanini wasingepiga risasi miguuni? Au hawana shabaha.
 
One of the brutal police force in the world...PT
 
Tulia we kiuno nchi yoyote ile duniani watu kama hao hupitia mateso makali ili waseme wanashirikiana na kina nani na bunduki ziko wapi

Jambazi habembelezwi ili aseme ukweli
mtuhumiwa wa ujambazi ni baba iweje mtoto asiyehusika adhalilishwe na ahusiki?
 
Nyie mnataka jambazi abembelezwe
Mtu ashakuwa sugu anakamatwa anatoka anaendelea na uhalifu
Hebu toeni ngojera zenu hapa
Dawa ya jambaz ni kula za kichwa tu

Ova
Itungwe sheria na si kujitwalia sheria mkononi
 
Si ndio maana Jeshi la Polisi lina ajiri waliopata Division Ziro na Four!
Mtu mwenye akili japo kidogo ya kuvukia barabara hawezi kufanya unyama kama huo!
 
Wangempiga au kumkaba mappp angesema hicho kitu sio rahisi kabisa kumwambia mtu mzima hivyoo mnajidhalalisha
Am not a soldier professionally but what I do is that I respect career za watu ingawa na wao Wana makosa kibao. Unajua makosa yanayotokea site za ujenzi smt inagharimu client or consultant.je huko na hospital unajua kinachotokea watu wanaakufa,kwenye madereva unajua Ni mangapi wanafanya makosa watu wanapoteza maisha yao.naweza nikaendelea zaidi na zaidi ,uje kwa wabunge ama viongozi unajua wanavyofuja pesa mama wajazito wanakosa vifaa vya kuwasaidia wanapojifungua zahanati za vijijini kwetu.
M
 
Am not a soldier professionally but what I do is that I respect career za watu ingawa na wao Wana makosa kibao. Unajua makosa yanayotokea site za ujenzi smt inagharimu client or consultant.je huko na hospital unajua kinachotokea watu wanaakufa,kwenye madereva unajua Ni mangapi wanafanya makosa watu wanapoteza maisha yao.naweza nikaendelea zaidi na zaidi ,uje kwa wabunge ama viongozi unajua wanavyofuja pesa mama wajazito wanakosa vifaa vya kuwasaidia wanapojifungua zahanati za vijijini kwetu.
M
Ai niacheni
 
Nyie mnataka jambazi abembelezwe
Mtu ashakuwa sugu anakamatwa anatoka anaendelea na uhalifu
Hebu toeni ngojera zenu hapa
Dawa ya jambaz ni kula za kichwa tu

Ova
Kweli lakini wasivuke mpaka. Polisi wana kawaida pia ya kuua wasio majambazi, kule mtwara walifanya hiki kitu. Mtu sio jambazi wakampa tuhuma za ujambazi wakamuua, kumbe lengo wachukue pesa zake za madini.

Nashauri waangaliwe kwa jicho Kali, huwa Wana tabia ya kupitiliza.
 
Waziii afandeee raia hawajui hii skills shida yetu kila mtu Ni mtalaaamu wa kila fani ujue ,yaani diwani Ni daktari pia Ni Engineer anashauri ama anapima tofali lake uimara wake
KWAHIYO HUKO CHUO CHENU CHA UAFANDE HAMNAGA ETHICS EEH?
 
Siku ukifanyiwa tukio la kihalifu ndiyo
Utakuja waelewa hao ni watu wa aina gani

Ova
Mimi sitetei majambazi bali nakutetea wewe siku ambayo utakuja kupewa tuhuma ya ujambazi unaweza kula shaba huku ikiwa hukuwahi kufanya ujambazi, hapo ndio kwenye hoja yangu.
 
View attachment 2367550
Binti asimulia polisi alivyomvua nguo mbele ya baba yake Serengeti
Sunday September 25 2022
Tabitha Mwise (22), binti wa Mwise Simon (54), mmoja wa watu watatu waliouwawa kwa kupigwa risasi na polisi wilayani Serengeti kwa tuhuma za ujambazi amesimulia tukio la polisi kuvamia nyumbani kwao kumtia mbaroni baba yake ambaye sasa ni marehemu.

Binti asimulia polisi alivyomvua nguo mbele ya baba yake Serengeti
By Beldina Nyakeke

IN SUMMARY
Tabitha Mwise (22), binti wa Mwise Simon (54), mmoja wa watu watatu waliouwawa kwa kupigwa risasi na polisi wilayani Serengeti kwa tuhuma za ujambazi amesimulia tukio la polisi kuvamia nyumbani kwao kumtia mbaroni baba yake ambaye sasa ni marehemu.

Musoma. Tabitha Mwise (22), binti wa Mwise Simon (54), mmoja wa watu watatu waliouwawa kwa kupigwa risasi na polisi wilayani Serengeti kwa tuhuma za ujambazi amesimulia tukio la polisi kuvamia nyumbani kwao kumtia mbaroni baba yake ambaye sasa ni marehemu.

“Kwanza walifika kwa kishindo alfajiri ya Septemba 21, mwaka huu wakiwa na magari mawili; wakavunja milango na kuwatoa nje wote waliokuwemo ndani huku wakimtembezea kipigo kila aliyekuwa mbele yao,” amesema binti huyo

Amesema mlango wake ulipovunjwa na yeye kutolewa nje kwa vipigo, alimkuta baba yake na ndugu wengine wakiwa tayari wametolewa nje huku wakipigwa kulazimishwa kuonyesa silaha zilipofichwa.

“Baada ya kuwajibu kwamba sifahamu bunduki ilipo na wala sijawahi kumwona baba yangu akiwa na bunduki, askari wale waliendelea kunishambulia sehemu mbalimbali za mwili huku watuamuru mimi na baba kuvua nguo zote,” amesema Tabitha akionyesha huzuni usoni kabla ya kushindwa kuendelea kusimulia tukio hilo

Binti huyo ametoa simulizi hiyo mjini Musoma leo Septemba 25, 2022 wakati familia mbili kati ya tatu zilizopoteza wapendwa wao katika tukio hilo walipokutana na waandishi wa habari kusisitiza msimamo wa kutozika hadi uchunguzi huru na wa kina ufanyike kujua sababu na jinsi ndugu zao walivyopigwa risasi.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Longinus Tibishiwanu hakupatikana kuzungumzia tuhuma za askari wake kudaiwa kuwavua nguo baba na binti yake mbele ya wanafamilia wengine baada ya msaidizi wake aliyepokea simu yake ya kiganjani kueleza kuwa kiongozi huyo alikuwa kwenye ibada.

Msimamo wa familia

Wakizungumza na waandishi wa habari mjini Musoma, familia ya Mwise Simon na Mgare Mokiri wamesisitiza kutozika hadi uchunguzi wa kina utakapofanyika kubaini sababu na mazingira ya vifo vya ndugu zao.

"Tume huru tunayoomba iundwe ichunguze siyo tu mauaji ya Serengeti, bali pia ya watu wengine waliofia katika mikono ya polisi katika matukio mbalimbali wakiwemo wale waliodaiwa kuwa ni Panya Road," alisema Catherine Ruge, ambaye ni mpwa wa marehemu Mwise Simon

Catherine ambaye pia ni Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bavicha) amemwomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati suala hilo kama alivyofanya kwa kifo cha mfanyabiashara wa madini Mussa Hamisi wa Mtwara aliyefia mikononi mwa polisi.

Watu hao waliouwawa na askari polisi kutoka mikoa ya Mwanza, Mara, Simiyu na Tarime/Rorya ambao walikuwa wanafanya operesheni ya kusaka watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi.

Mwingine aliyepigwa risasi katika tukio hilo lililotokea usiku wa kumakia Septemba 22, mwaka huu ni Mairo Togoro (56) ambaye familia yake haikuwepo kwenye mkutano wa waandishi wa habari mjini Musoma.

Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Longinus Tibishiwanu alisema watu hao walipigwa risasi walipojaribu kutoroka walipoenda na askari polisi kuonyesha maficha yao na eneo wanakohifadhi silaha walizodaiwa kuzitumia kwenye uhalifu.

Taarifa hiyo inadai watu hao ambao sasa ni marehemu walikuwa wanatuhumiwa kujihusisha na matukio ya ujambazi na waliwaongoza askari kwenda kuonyesha walipojificha wenzao watatu lakini walipofika kitongoji cha Gentamome, ghafla askari polisi walishambuliwa ndipo walipolazimika kujibu mapigo.

More From Mwananchi
Pumba tupu,simlisema Magufuli ndiye aliyekuwa mbaya wenu, Sasahivi mnaishi kwa raha, Mbowe anaalikwa Ikuru kulamba buyu la asali,kelele za nini sasa maana muuaji hayuko tena!.
 
Huu utamaduni WA kujichukulia Sheria mkononi tunaotengeneza ni WA kishenzi na utatucost Sana , no one is safe .Unaweza dhani uko Salama Ila kuna siku litakukuta jambo ,mtu anaweza hata akasungizia wewe ni jambazi au mhalifu na watu wakaishia kukupiga kukutesa na hata kukuua , pia hata hao wapuuz polisi wanaweza kukutesa na kukuua wakikutuhumu Kwa kosa flani ,bila uchunguzi WA kina .

Polisi wanatakiwa kufanya kazi Kwa weredi ,Kwanza hao kenge hata police general order na penal code ya Tz hawajui kwamba wanaenda kinyume nayo , wapumbav hawana skills za kucarry out investigation na kupata information bila torture , torture ni forbidden in any way .
 
Miakq yooote polisi wqnapoua watuhumiwa wanasema walitaka kutoroka walipokuwa wanaenda kuonesha maficho ya silaha. Je kuna sheria inayowapa backup kwa hii claim?

Je Polisi wameishiwa pingu kiasi kwamba wanaenda na watuhumiwa wakiwa mikono huru?

Tume ya Haki za Binadamu, imebariki haya mauaji?
Mpaka mrisho mpoto alishaimba usemi wao mkuu "Turikuwa tukipambana na majambazi tukayashinda ,wapi "
 
Majambazi mkiwakamata muwahoji siku 3 watoe washirika wao, kicha muwapge chuma wafe.

Pale runzewe na katoro mkoa wa geita ni makazi ya majambazi wa kanda ya ziwa.

Kapgeni risasi na umma muutangazie.

Jambazi. Mwizi, kibaka na panyaroad ni kuwapoteza tu. Wauliwe popote, walawitiwe laiv kisha wasokomezwe nondo mkundun.
 
Back
Top Bottom