Sergio Ramos amtakia Mohammed Salah uponaji wa haraka na kusema hakudhamiria kumuumiza

Mpuuzi ,nilikuwa nimekaa kaskazini mwa uwanja, nilitamani nimrushie hata kiatu
mkuu vipi ulikua unamuona cristiano na baby wake ? wanakisiana tu. hapo uwanjani ..hukupiga picha hata na gareth bale mkuu?
 
Mpuuzi ,nilikuwa nimekaa kaskazini mwa uwanja, nilitamani nimrushie hata kiatu
Wapuuzi ni waafrica tunaolialia kwa Salah tukidhani ni muafrica mwenzetu, yule ni muarabu 100%

BTW huu ni mpira, ajali hutokea kazini
 
Baba mwenyenyumba

Muhuni

Mwenyekiti wa kamati ya roho mbaya

Ok anyways ni uungwana kafanya

[HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…