Sergio Ramos amtakia Mohammed Salah uponaji wa haraka na kusema hakudhamiria kumuumiza

Sergio Ramos amtakia Mohammed Salah uponaji wa haraka na kusema hakudhamiria kumuumiza

Mpuuzi ,nilikuwa nimekaa kaskazini mwa uwanja, nilitamani nimrushie hata kiatu
Wapuuzi ni waafrica tunaolialia kwa Salah tukidhani ni muafrica mwenzetu, yule ni muarabu 100%

BTW huu ni mpira, ajali hutokea kazini
IMG_20180527_103831_805.JPG
 
Baba mwenyenyumba

Muhuni

Mwenyekiti wa kamati ya roho mbaya

Ok anyways ni uungwana kafanya

[HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom