Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio sio ndugu yetu,acha kujipendekeza kwa miarabu.Hata kama ni mwarabu but haiondoi kuwa yeye si ndugu yetu/mwafrika mwenzetu.
Wao wenyewe2 hawautaki uafrica.asili ya mweusi ni africa miarabu milowezi2.Kwa tafsiri yako ni kwamba ili uwe mwafrika lazima uwe mweusi si ndio?
Ndio sio ndugu yetu,acha kujipendekeza kwa miarabu.
Ndio sio ndugu yetu,acha kujipendekeza kwa miarabu.
Kwa tafsiri yako ni kwamba ili uwe mwafrika lazima uwe mweusi si ndio?
Wangemuumiza Mane ingenigusa.Ndio maana haijakugusa,, ila angelikuwa black mwenzetu ingekugusa na hata ungeanzisha thread 😀😀
Hivi hii dhana ya kuwaita waarabu waafrika mnaitoa wapi ndugu? kuwepo kwao bara la afrika hakujustify wao kuwa waafrika....Salah ni mwarabu na atabaki kuwa mwarabu...he z not an african....!
hahaha.kweli bigwa ntetezi aliyewatoa mabingwa wa ligi mbalimbali kama psg,juve na buyern aje kufungwa na muwania top 4 haya maajabu yalikua ezi za musa tyu
mkuu vipi ulikua unamuona cristiano na baby wake ? wanakisiana tu. hapo uwanjani ..hukupiga picha hata na gareth bale mkuu?Mpuuzi ,nilikuwa nimekaa kaskazini mwa uwanja, nilitamani nimrushie hata kiatu
Wangemuumiza Mane ingenigusa.
Wapuuzi ni waafrica tunaolialia kwa Salah tukidhani ni muafrica mwenzetu, yule ni muarabu 100%Mpuuzi ,nilikuwa nimekaa kaskazini mwa uwanja, nilitamani nimrushie hata kiatu
Salah nia muafricaHakuna cha wivu bwana, hapo lazima tumzungumzie mwafrika mwenzetu,, yaliyompata sio madogo na hata wc anaweza akaikosa...
Get well soon Salah...
Kwa nini?Marecelo + Benzema hii Combination naichukia balaa