Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Huwajui waingereza. Labda aje acheze epl. Otherwise kama unazungumzia kwamba wakutane kwa tim ya taifa nakwambia hakuna litalo tokea.Uingereza watahakikisha Ramos hafiki mbali.
Kwa fitna, Uingereza nawakubali
Watampiga hata bomuRamos asipokuwa makini Kuna watu watakuja ku-revenge nje ya uwanja.
Waingereza hawachukui lolote. Watu wenye uchungu na mtu wao ni egypt. Waingereza wanachojali ni kikombe... suala la salah haliwahusu.Waingereza walipania hili kombe liende kwao.
Ramos ana maisha mafupi kwenye mpira
Ukute hata mechi hajaangaliaAnatafuta kiki huyo, mambo ya uwanjani yanaishia uwanjani
Haiwezekani. The Hague wanasimamia kesi kubwa kubwa kama za kivita. Kesi za ramos na salah ni za mahakama ya mwanzo.Hivi kwa uhalifu alofanya ramos hawezi kupelekwa the hague kabisa??!!
Hawezi toa hiyo pesa. Na hiyo mahakama haina power maana ramos anaishi spain. Only watakuwa na nguv ramos atakapo kanyaga ardhi ya misri... ila kwa sasa watapiga vuvuzela sana. Hakuna litalo tokea.Safi sana, tena hiyo 1b ndogo sana. Anatakiwa atoe zaidi *****. Katuumizia mwafrika mwenzetu.
Ndo soka hilo na hayo mambo hayajaanza leo, watu wanaumiza wenzao makusudi, watu wanarusha mateke ya makusudi kina De jong lakini baada ya soka maisha yanasonga, watu wanaomba penalty makusudi kabisa kina Ashrey Young, watu wanashika mpira makusudi, refer kilichowapata kina Ghana kwa Suarez, watu wanang'ata wenzao makusudi kabisa uwanjani, nafikiri unamjua mng'ataji tena mara tatu, baada ya mechi we all speak football, ndani ya dk 90 ni vita kali, kila mbinu inatumika ila dk 90 zikiisha mnaweka silaha chini na kupeana mikono, hilo ndo soka labda kwa wale wasiojua na kufuatilia sokaUkiangalia vizuri nakwamakini Ramos alidhamilia kabisa
Alishift landing area nakujirushia kwenye eneo ambalo naturally asingeangukia kama angeendelea kudondoka kihalisia walivokuwa wakianguka.
Kushift landing point makusudi ndio root cause ya ushenzi uliotokea.
Mkuu hivi ilo jina unafanya makusudi kuandika hivyo au unakosea tu?Ni hizo za kusuruhisha masuala ya michezo mkuu! Wakienda kwingine Sarah anafungiwa kucheza mpira.
Nimeangalia clips kadhaa zinazomhusu Ramos, kweli jam anacheza rafu mno. na kadi nyekundu kibao sana. Namfananisha na Mtaliano Gennaro Gattuso ama Mwingereza Paul Scholes.Uingereza watahakikisha Ramos hafiki mbali.
Kwa fitna, Uingereza nawakubali
Unamaanisha user ID yangu?
Kama ndivyo, Hakuna kitu kinaitwa kukosea wakati wa kuandika ID.
sasa unadhani wa misri ni wasenge km ninyi wakubali kuonewa kisenge senge tuHuyo Salah ndo wakwanza kuumia mbona wengi sana wameumizwa na hakuna mashtaka.
Usenge wao unaujua wewe hapo wanakudanganya wewe jinga unaamini, hapo hakuna kesi huyo aliyebeti kaliwa na Ramos haendi mahakama yoyote. pumbavusasa unadhani wa misri ni wasenge km ninyi wakubali kuonewa kisenge senge tu