Sergio Ramos katumia Kiswahili katika akaunti yake

Unachekesha.MOUSTAPHA NI SIMBA BABA, THE KING LION Film wanaongea maneno mengi tu ya kiswahili.Hakuna matata linatumika sana.Ramos kalisikia humo nina uhakika asilimia 200.
Wewe mama nae zimekuruka..

Kwanini usingesema unamjua simba tungeelewa..
Sasa Wewe eti unamjua Mustafa?? watu ambao hatujaangalia tutajua ni mtu Kumbe simba..!

Eti unamjua Mustafa..!sema simba.. Wewe unaemjua yuko wapi kwa sasa huyo Mustafa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mufasa ni baba yake Simba. Wewe hutaelewa kaangalie kwanza Film inaitwa The Lion king. La sivyo hapa natwanga maji kwenye kinu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…