Sergio Ramos katumia Kiswahili katika akaunti yake

Sergio Ramos katumia Kiswahili katika akaunti yake

Drone Camera

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2017
Posts
14,041
Reaction score
13,907
Hakuna Matata
Screenshot_2020-01-18-21-54-10.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unachekesha.MOUSTAPHA NI SIMBA BABA, THE KING LION Film wanaongea maneno mengi tu ya kiswahili.Hakuna matata linatumika sana.Ramos kalisikia humo nina uhakika asilimia 200.
Wewe mama nae zimekuruka..

Kwanini usingesema unamjua simba tungeelewa..
Sasa Wewe eti unamjua Mustafa?? watu ambao hatujaangalia tutajua ni mtu Kumbe simba..!

Eti unamjua Mustafa..!sema simba.. Wewe unaemjua yuko wapi kwa sasa huyo Mustafa 😀😀😀
 
Mufasa ni baba yake Simba. Wewe hutaelewa kaangalie kwanza Film inaitwa The Lion king. La sivyo hapa natwanga maji kwenye kinu.
 
Back
Top Bottom