Sergio Ramos katumia Kiswahili katika akaunti yake

Au huna backup kwa sasa? 😀😀
Maisha yako ni jf ndo unapotaka kuvimbia watu huku kuaminisha eti wewe ni mwanasayansi.. 😀

Huwaga nakuonaga ni nyumbu kule kwenye soka ndo kabisaa bora hapa..
Mimi ni mwanasayansi OG.
 
Inategemea unatangazwa . nini
Ila kisheria hao jamaa wameliwekea copyright.
unaweza ukatumia. Ila si kulimiliki.
Na wao wanaangalia kama hakutakuwa na athari yoyote katika kampuni yao.wataacha utumie tu.
Ila kaa ukijua si neno lako.
Hakuna matata mbona imetumika sana kwenye matangazo hapa bongo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo kabila la waswahili ndo lipi
 
Sijalazimisha mtu aamini. Ila mimi najua hakuna matata kaitoa kwenye series au film za Lion the king. Pale Tim na Pumbaa wanavyoimba Hakuna matata.
 
Lilimilikiwa kabla hata movie haikutoka mbona na baada ya kufanikiwa kumiliki hiyo Trademark ndio Lion King ikafuata sasa alafu sasa mbaya zaidi linatambulika limetokea Kenya hilo neno 'HAKUNA MATATA'.
Walipokwenda kufanya movie huko Kenya walivutiwa na hilo Neno Hakuna Matata ndo wakaamua kulitumia. Movie zao ndo zilipeleka hiyo neno to the world hata Neymar,Ronaldo,Messi wanalifahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…