Sergio Ramos katumia Kiswahili katika akaunti yake

Sergio Ramos katumia Kiswahili katika akaunti yake

Au huna backup kwa sasa? 😀😀
Maisha yako ni jf ndo unapotaka kuvimbia watu huku kuaminisha eti wewe ni mwanasayansi.. 😀

Huwaga nakuonaga ni nyumbu kule kwenye soka ndo kabisaa bora hapa..
Mimi ni mwanasayansi OG.
 
Inategemea unatangazwa . nini
Ila kisheria hao jamaa wameliwekea copyright.
unaweza ukatumia. Ila si kulimiliki.
Na wao wanaangalia kama hakutakuwa na athari yoyote katika kampuni yao.wataacha utumie tu.
Ila kaa ukijua si neno lako.
Hakuna matata mbona imetumika sana kwenye matangazo hapa bongo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaona huu unafiki?

Hujui kabila la Waswahili original?

Waswahili ni kabila original la Waswahili kandokando ya Bahari ya Hindi na Visiwa vyake kutoka Pwani ya Kismayu mpaka Mtwara na Zanzibar,Comoro,Mafia,na utitiri wa visiwa vidogo vidogo.

Kama sio mzaliwa original with 800yrs ancestors from these areas wewe sio Mswahili.

The rest of East Africa imekua Swahilicized tena recently tu kuanzia 1961.
Hilo kabila la waswahili ndo lipi
 
Ni kweli dada yangu yawezekana unajua mengi kunizidi sana lakini kitendo cha kung'ang'ana kuwa huo msemo Ramos kautoa huko kwenye sinema na hutaki kubadili na unalazimisha wengine waamini hivyo lazima hadhara ya jf ikuone "unajimwambafy" yaani watu wenye uelewa zaidi wamejua hii ni tabia yako kutaka kujifanya mjuaji wa kila kitu na yamkini wamekujua zaidi hata kwa uzi mbalimbali,ili kuleta maelewano yapaswa wote tuzungumze kiusawa hata kama unayezungumza naye ni zuzu kiasi gani tafuta namna ya kwenda naye sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijalazimisha mtu aamini. Ila mimi najua hakuna matata kaitoa kwenye series au film za Lion the king. Pale Tim na Pumbaa wanavyoimba Hakuna matata.
 
Lilimilikiwa kabla hata movie haikutoka mbona na baada ya kufanikiwa kumiliki hiyo Trademark ndio Lion King ikafuata sasa alafu sasa mbaya zaidi linatambulika limetokea Kenya hilo neno 'HAKUNA MATATA'.
Walipokwenda kufanya movie huko Kenya walivutiwa na hilo Neno Hakuna Matata ndo wakaamua kulitumia. Movie zao ndo zilipeleka hiyo neno to the world hata Neymar,Ronaldo,Messi wanalifahamu.
 
Back
Top Bottom