Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Kumbe walifanikiwa kumiliki ?Sio walitaka kumiliki hilo neno pamoja ni Kiswahili lakini ni bland name ya mtu na inamilikiwa na wazungu jaribu kutumia uwone kama ujafungwa tumia mdomo tu lakini sio kwenye bidhaa.