Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,817
- 14,925
kipindi Cha nyuma mwaka jana nliwahi kuangalia hili dubwasha Kwa jina la "From"
Najutaa🤣
Maoni ya Mdau
Najutaa🤣
Game of thrones msimu wa mwisho
Pia watu walikuwa wanaisifia sana ‘Money Heist”. Nilivyoanza kuangalia sikuona maajabu yoyote maana script ilikuwa imekaa kitoto sana pamoja na ina uongo mwingi, kwakweli sikuweza kuimaliza nikaishia katikati