Series gani uliwahi kuangalia na hutamani Tena?

Series gani uliwahi kuangalia na hutamani Tena?

Money Heist

Seal Team

See

The Sopranos

Nikikumbuka nyingine nitarud
Money heist niliambiwa kali sana ila nimeanza kuangalia season 1 mpaka episode ya 10 naona kama sielewi hata huo ukali uko wapi nikaamua kuacha kwa muda labda hamu itarudi badae😀
Hiyo money heist ndio niliishia season ya 3 nikaifuta Ipo hyped Sana kmmk hakuna kitu mule
Mnaoikataa money heist, ni series ipi kali zaidi ya hiyo yenye maudhui ya aina hiyo kama money heist
 
Why.labda movie
Mimi huwa naangalia movie ambazo niliziona zamani hizi mpya huwa naweka while naendelea kuchezea simu tu ,sifuatilii serious.

-Movie ambazo napenda kuangalia mara kwa mara.

1.The Bodyguard from beijing(Jet Li)
2.Romeo Must Die(Jet Li & Aaliyah)
3.Predator(Anold Shoziniga)
4.Missing in Action(Check Norris)
5.The Commando(Anold Shoziniga)
6.The Full Metal Combat(Ronald Lee)
7.In The Line of Duty 4(Donnie Yen & Cynthia Khan)
8.Coming to America(Eddy Murphy)
9.My Luv Don't cost a thing(Christina Millian & Nick Cannon)
10.8 Mile (Eminem)
 
Siku hizi Tv Series zimekuwa za kupekenyua sana.Kuna matukio hayavutiii...hata Movie zimekuwa na wenge wenge..aliyesema from 2020 kurudi nyumba ni kweli..sijui Corona iliharibu akili za Madirector😀😀😀
 
Siku hizi Tv Series zimekuwa za kupekenyua sana.Kuna matukio hayavutiii...hata Movie zimekuwa na wenge wenge..aliyesema from 2020 kurudi nyumba ni kweli..sijui Corona iliharibu akili za Madirector😀😀😀
wanazingua sana film industry siku hizi imekua ya mchongo hata tuzo zake nyingi since2020 hazieleweki
 
Back
Top Bottom