Series gani uliwahi kuangalia na hutamani Tena?

Series gani uliwahi kuangalia na hutamani Tena?

Game of thrones msimu wa mwisho 🚮🚮


Money heist, yale ni maigizo ya kitoto yaliyo pambwa vizuri ili kutuzuga wenye akili timamu 🚮🚮.
Money heist niliambiwa kali sana ila nimeanza kuangalia season 1 mpaka episode ya 10 naona kama sielewi hata huo ukali uko wapi nikaamua kuacha kwa muda labda hamu itarudi badae😀
 
Back
Top Bottom