Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,817
- 14,925
Game of thrones msimu wa mwisho
Pia watu walikuwa wanaisifia sana ‘Money Heist”. Nilivyoanza kuangalia sikuona maajabu yoyote maana script ilikuwa imekaa kitoto sana pamoja na ina uongo mwingi, kwakweli sikuweza kuimaliza nikaishia katikati
Kwanini?SEAL TEAM
Kwa nini unajuta wakati inapewa airtime hivokipindi Cha nyuma mwaka jana nliwahi kuangalia hili dubwasha Kwa jina la "From"
Najutaa🤣
Ipo creepy...Kwa nini unajuta wakati inapewa airtime hivo
Kwenye money heist uko sahihi..Game of thrones msimu wa mwisho 🚮🚮
Money heist, yale ni maigizo ya kitoto yaliyo pambwa vizuri ili kutuzuga wenye akili timamu 🚮🚮.
Haitishi. Shida ni kwamba imerefushwa sana.Ipo creepy...
Usipoangalia nawe utajikuta unafunga mlango na kulala saa 12 jioni
Labda mie na kichwa changu..Haitishi. Shida ni kwamba imerefushwa sana.
Kwanini mkuuOzark
Wanaogea sana napenda vitu vyenye iko na vibe full mkoko action ma adventureKwanini mkuu
Na zipi nzuri ulitokea kuzikubali?Wanaogea sana napenda vitu vyenye iko na vibe full mkoko action ma adventure
Wewe ndio tatizo, unatakiwa ujue aina ya filamu unayoangalia. Ozark ni nzuri mno kwa tunaopenda tamthiliya za uhalifu.Wanaogea sana napenda vitu vyenye iko na vibe full mkoko action ma adventure
Kuna moja hivii inaitwa see unaijuaNa zipi nzuri ulitokea kuzikubali?
Hahaha si perception yako mkuu na choice ni yako sijakupinga kuna mtu anapenda taarabu, mwingine ruba ,mwingine zuku ,mwingine singeli, mwingine bongo fleva za kisazamani hukatazwiiiWewe ndio tatizo, unatakiwa ujue aina ya filamu unayoangalia. Ozark ni nzuri mno kwa tunaopenda tamthiliya za uhalifu.
Nipo info yake hebu ninayo nilishia season one episode ya 5 nikatoa hebu nipe info zake walau nipe hamu ya kwenda kuifukua kwa makabatiWewe ndio tatizo, unatakiwa ujue aina ya filamu unayoangalia. Ozark ni nzuri mno kwa tunaopenda tamthiliya za uhalifu.
Sikumbuki kama nimewahi kuionaKuna moja hivii inaitwa see unaijua