mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
Marty atakuja kuwa mtakatishaji mkubwa sana wa hela, atatambulika na don wa cartel, atatafutwa na serikali, hadi watoto watakuwa mapro😅Nipo info yake hebu ninayo nilishia season one episode ya 5 nikatoa hebu nipe info zake walau nipe hamu ya kwenda kuifukua kwa makabati
Hatimaye wahenga mmeingia😄Days of our lives
Nisimulie na mie kule...nliishiwa hapo Fatima kajifungua....ikawaje😊Marty atakuja kuwa mtakatishaji mkubwa sana wa hela, atatambulika na don wa cartel, atatafutwa na serikali, hadi watoto watakuwa mapro😅
Hiyo money heist ndio niliishia season ya 3 nikaifuta Ipo hyped Sana kmmk hakuna kitu muleGame of thrones msimu wa mwisho 🚮🚮
Money heist, yale ni maigizo ya kitoto yaliyo pambwa vizuri ili kutuzuga wenye akili timamu 🚮🚮.
Hii nayo ni ushubwada 🎯Ozark
Wewe umeimaliza, kipande cha 1 msimu wa 4 kimetoka, kakipakue.Nisimulie na mie kule...nliishiwa hapo Fatima kajifungua....ikawaje😊
😀Ilibeba uhalisia mwingi ndani ya changamoto nilizokuwa napitiaHatimaye wahenga mmeingia😄
Haya ilikuwaje Hadi ujutie
Kumbe waganga nao wanapitia changamoto za kimapenzi...sikujua😀Ilibeba uhalisia mwingi ndani ya changamoto nilizokuwa napitia
Hapana asanteWewe umeimaliza, kipande cha 1 msimu wa 4 kimetoka, kakipakue.
😀😀😀Kumbe waganga nao wanapitia changamoto za kimapenzi...sikujua
Hii niliangalia season moja tu ikaniboaSEAL TEAM
Money heist niliambiwa kali sana ila nimeanza kuangalia season 1 mpaka episode ya 10 naona kama sielewi hata huo ukali uko wapi nikaamua kuacha kwa muda labda hamu itarudi badae😀Game of thrones msimu wa mwisho 🚮🚮
Money heist, yale ni maigizo ya kitoto yaliyo pambwa vizuri ili kutuzuga wenye akili timamu 🚮🚮.
Hii nahisi hata mimi nitaifuta kabla sijapoteza muda zaidiKwenye money heist uko sahihi..
Labda wengine hatuzielewiMoney heist niliambiwa kali sana ila nimeanza kuangalia season 1 mpaka episode ya 10 naona kama sielewi hata huo ukali uko wapi nikaamua kuacha kwa muda labda hamu itarudi badae😀
Ni nzuri labda hukuielewaIris 2