Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Mimi squid game. ilipewa airtime kinoma nikajua bonge la series. Kwa kusema kweli hata season 1 sikuweza kuimalizaMoney heist niliambiwa kali sana ila nimeanza kuangalia season 1 mpaka episode ya 10 naona kama sielewi hata huo ukali uko wapi nikaamua kuacha kwa muda labda hamu itarudi badae😀
Wewe bwanaJumba la dhahabu
“Acapulco Bay” ndio miaka yake hii ee?Days of our lives
Kwanini umejuta mkuu na hii series inahusu nini?kipindi Cha nyuma mwaka jana nliwahi kuangalia hili dubwasha Kwa jina la "From"
Najutaa🤣
View attachment 3578575
Una habari jana Mzee alikuwa anasalimiwa na akazima line zote😊Hata hii mpya ya jaji chande imeboa sana
Ni horror zile,monstersKwanini umejuta mkuu na hii series inahusu nini?
🤣🤣Ya Ndecha...🫤
Mnaongelea series gani?Wewe umeimaliza, kipande cha 1 msimu wa 4 kimetoka, kakipakue.
Anaongelea Ile nliyoitaja pale juuMnaongelea series gani?
Mimi na horror series hapana kwa kweliAnaongelea Ile nliyoitaja pale juu
Inaitwa FROM
Za zamani?Egoli, Passion 🤣🤣
Zamani sana enzi hizo watoto woote kwa sebule..mtaani kimyaa 😅Za zamani?
Monsters wa mule ni wapole wenyewe..wakikukaribia sasaMimi na horror series hapana kwa kweli