Acha kabisa we huoni cookie akipewa jicho uvumilivu unamshinda anajiachia tu
Mwisho wa siku Cookie focus yake itarudi tu kwenye Empire, ali-sacrifice kwa ajili yake....kitu pekee kitafanya wadumu ni kama kitoto kina akili zaidi ya kuvaa wire na ku-track Cookie kwa gps.....Cookie anahitaji kuendeleza kampuni, unajua nadhani hakuamini Lucious alichomuambia,out of excitement ya kupata lile alilolitaka sana na ambalo hakulitarajia huyo akapepesuka.....nilichukia mimi na ile ya anajiandaa kwenye meza....!
Hakeem will shoot him....lol....katika aibu atapata Cookie ni wanae wakijua after all bidii yake ya kutengeneza uhusiano nao.
Nachoweza kusema ni kwamba Luscious ana romantic eyes, very sexy smile, very stubborn and full of confidence.
Mwisho wa siku Cookie focus yake itarudi tu kwenye Empire, ali-sacrifice kwa ajili yake....kitu pekee kitafanya wadumu ni kama kitoto kina akili zaidi ya kuvaa wire na ku-track Cookie kwa gps.....Cookie anahitaji kuendeleza kampuni, unajua nadhani hakuamini Lucious alichomuambia,out of excitement ya kupata lile alilolitaka sana na ambalo hakulitarajia huyo akapepesuka.....nilichukia mimi na ile ya anajiandaa kwenye meza....!
Aisee nachukia sana Hakeem anamvyomnyanyasa mama yake, lakini the last 2 episodes wameanza kuelewana, hili likitokea Hakeem akijua chuki yake itarudi tena na itakuwa ya kutisha.
Mkuu hii ilisitishwa na NBC tarehe 21 may 2014 hivyo haitatoka tena
Hahahahaa..huoni kama cookie amedata kwa mlinzi..pale kwenye meza alikuwa anataka ampanulie jamaa miguu nadhani..alijua jamaa anamcheki kwenye camera..akataka ammwagie radhi
Mi team lucious..ila aka kamlinzi sio cha kukadharau
Huyu cookie's kanivutia jina lake tu et taraji penda c tunaangaika na majina ya kizungu wenzetu walisha yaacha mda nice one ngoja nianze kuichek sasa
Na JB nae katoa series take itafute sokoni