Series (Special thread)

Series (Special thread)

Mwisho wa siku Cookie focus yake itarudi tu kwenye Empire, ali-sacrifice kwa ajili yake....kitu pekee kitafanya wadumu ni kama kitoto kina akili zaidi ya kuvaa wire na ku-track Cookie kwa gps.....Cookie anahitaji kuendeleza kampuni, unajua nadhani hakuamini Lucious alichomuambia,out of excitement ya kupata lile alilolitaka sana na ambalo hakulitarajia huyo akapepesuka.....nilichukia mimi na ile ya anajiandaa kwenye meza....!

Hahahahaa..huoni kama cookie amedata kwa mlinzi..pale kwenye meza alikuwa anataka ampanulie jamaa miguu nadhani..alijua jamaa anamcheki kwenye camera..akataka ammwagie radhi
Mi team lucious..ila aka kamlinzi sio cha kukadharau
 
Aisee nachukia sana Hakeem anamvyomnyanyasa mama yake, lakini the last 2 episodes wameanza kuelewana, hili likitokea Hakeem akijua chuki yake itarudi tena na itakuwa ya kutisha.

Hakeem will shoot him....lol....katika aibu atapata Cookie ni wanae wakijua after all bidii yake ya kutengeneza uhusiano nao.
 
....Luscious anajua Cookie mtoto wa MUJINI ili aishi kwa amani lazima amtimizie matakwa yake ikiwemo kuonyesha upendo kama mzazi kwa Jamal. Pia anajua kwamba amesacrifice sana kuliko yeye kufikia hapo walipo kama familia. Hivyo akikumbuka walikotoka anakuwa hana jinsi ila kumtimizia matakwa yake.

Mwisho wa siku Cookie focus yake itarudi tu kwenye Empire, ali-sacrifice kwa ajili yake....kitu pekee kitafanya wadumu ni kama kitoto kina akili zaidi ya kuvaa wire na ku-track Cookie kwa gps.....Cookie anahitaji kuendeleza kampuni, unajua nadhani hakuamini Lucious alichomuambia,out of excitement ya kupata lile alilolitaka sana na ambalo hakulitarajia huyo akapepesuka.....nilichukia mimi na ile ya anajiandaa kwenye meza....!
 
Aisee nachukia sana Hakeem anamvyomnyanyasa mama yake, lakini the last 2 episodes wameanza kuelewana, hili likitokea Hakeem akijua chuki yake itarudi tena na itakuwa ya kutisha.

Yani hakeem akijua chuki yake kuja kuisha labda season ya 50
 
Hahahahaa..huoni kama cookie amedata kwa mlinzi..pale kwenye meza alikuwa anataka ampanulie jamaa miguu nadhani..alijua jamaa anamcheki kwenye camera..akataka ammwagie radhi
Mi team lucious..ila aka kamlinzi sio cha kukadharau

Huyu cookie's kanivutia jina lake tu et taraji penda c tunaangaika na majina ya kizungu wenzetu walisha yaacha mda…nice one ngoja nianze kuichek sasa
 
Wakuu ndio kwanza nimeanza kutizama aina hii ya movies, si mchezo nimenogewa lakini mpaka sasa nimetazama Nikita, Athena na prisonbreak naomba kwa wadau mnitajie series nyingine kali za kijasusi niweze kuzinunua.
 
Kama ndo umeanza siku hizihizi kuwatch such kind of series then angalia pia 24 hours though ilitoka kabla ya prisonbreak
 
Za kijasusi tafuta The blacklist, Crisis, 24 itafunika zote hapo, Person of interest. za sci fi/fantasy tafuta the 100, Revolution, Grimm, Lost, Under the Dome, Beauty and the beast, Arrow, Ukitaka za plundering, mapanga kwa sana tafuta kama Merlin, Vikings, Salem, sleepy hollow, witches of east end (uchawi). Ukitaka zenye comedy kiasi tafuta Atlantis, drama tafuta Bates Motel, nyingine nimesahau.
 
Kitu hiki hapa huwa sichoki kuangalia 1426402809641.jpg
 
revolution ndo naangalia nw jana sijalala..... hiv kuna series inaitwa missing, cast rebecca(bec) wengine nimewasahau waliishia episode ya 10 tu hivi iliendeleaga
 
Back
Top Bottom