Series (Special thread)

kubwa sana,juzi alivyokuwa mpole na anamsubiri Mary jane nilimpenda sana,anajua mpenzi wake anapitia nini na anajishusha,mwanaume wa kibongo umjibu mbovu asubuhi then umpigie jioni sijui muonane,hiyo mitusi na jeuri utakoma
 
Utaambulia kibao na mzungu wa nne usiku
 
Wadau hivi revolution iliiisha au itaendeleaa??vipi kuhusu the last ship,hannibal na under the dome zitaendelea??
 
Wadau hivi revolution iliiisha au itaendeleaa??vipi kuhusu the last ship,hannibal na under the dome zitaendelea??

Revolution was stopped....hizo zingine zitaendelea.
Last ship ni this April pamoja na power..
Under the dome sijajua ni lini.
Hio nyingine huwa siifuatilii.
 
Homeland,nikita na series nyingine za kiintelijensia ndo nazipenda sana,lost,lie to me,kidogo revenge,revolution sikuielewa na haikunivutia
 
Kuna kitu kinaitwa Dominion jamaniiii. . N series nzuri sana
 
Kuna kitu kinaitwa Dominion jamaniiii. . N series nzuri sana

Niliitaja mwanzoni kabisa mwa hiii thread pamoja na arther ya idris Elba lakini sijawahi ona wanaozitambua...

Michael na ndugu yake.na Dada yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…