juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,924
- 5,406
The flash ep 15 jana wameachilia
Guys mmeshaichek dah hii show inazid kuwa nzur can't wait episode 16
Guys mmeshaichek dah hii show inazid kuwa nzur can't wait episode 16
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Banshee nzuri sana..mautam kibao. Hiyo inaitwa kaz na dawa
2016 mbali sana jamani? wasibweteke....ha ha ha aaaaaa,watu sasa hivi wanajipanga kufanya zaidi yao? August ingekuwa safi sana....anyway,kwa quality ya Empire labda ndo maana itachukua muda
Imekuwa so popular hata ads kwenye Empire zimekuwa za gharama sana. Jana 30 seconds add ilichajiwa kati ya $500K na $600K. Jana ilikuwa kiboko natumai hawatabweteka na kusubiri hadi January, 2016.
Yesterday was nothing like I've ever seen before with regards to soap operas since Dallas!
Eti watu walienda kwa makundi hadi kwenye sports bars kuangalia season finale ya Empire!
I mean, what's the big deal about it?
Nasubiri Nielsen's ratings zitoke nione kiasi cha viewership kilikuwaje.
Imekuwa so popular hata ads kwenye Empire zimekuwa za gharama sana. Jana 30 seconds add ilichajiwa kati ya $500K na $600K. Jana ilikuwa kiboko natumai hawatabweteka na kusubiri hadi January, 2016.
Swali hili lingekuwa ni vizuri kuelekezwa kwa TV analysts all over the country ambao wanadai hawajawahi kuona kipindi ambacho kila wiki kinaongeza idadi ya audience wakati trend ni kupungua kwa audience. Empire si popular kwa watu weusi tu bali hata kwa wazungu kitu ambacho hakijawahi kutokea tangu enzi za Cosby show. Jana CBS waliamua kupambanisha kipindi chao cha survivor na Empire nami nasubiri kwa hamu nione nani alikuwa mshindi kwenye ratings. Kuna article moja kuhusu umaarufu wa Empire niliisoma jana nikitulia nitaiweka hapa baadaye leo. Sitashangaa season 2 popularity ya Empire kuongezeka na hivyo kuanza kucharge 30 seconds ad $1 million. Empire is the new crack in the country.
ha ha ha haaaaa, hiyo ndio option kubwa uliyonayo,hizo MB 8 utaongezea hapo....kuzipata dukani itakuwa baada ya muda sana pengine tukiwa season 2 ya empire na 3 ya Mary Jane......sasa tukutumieje jamani?
Game of Throne
Empire
Dominion
Revenge
Crisis
Tomorrow People
Tyrant
Power
Devious Maids
Betrayal
The 100.
Twisted
My best series
Swali hili lingekuwa ni vizuri kuelekezwa kwa TV analysts all over the country ambao wanadai hawajawahi kuona kipindi ambacho kila wiki kinaongeza idadi ya audience wakati trend ni kupungua kwa audience. Empire si popular kwa watu weusi tu bali hata kwa wazungu kitu ambacho hakijawahi kutokea tangu enzi za Cosby show. Jana CBS waliamua kupambanisha kipindi chao cha survivor na Empire nami nasubiri kwa hamu nione nani alikuwa mshindi kwenye ratings. Kuna article moja kuhusu umaarufu wa Empire niliisoma jana nikitulia nitaiweka hapa baadaye leo. Sitashangaa season 2 popularity ya Empire kuongezeka na hivyo kuanza kucharge 30 seconds ad $1 million. Empire is the new crack in the country.
Empire went out with a bang. And we don't mean gunshots, although those were there too. The season one finale of Fox's Empire had an early overnight audience of 16.5 million viewers. In the key 18-49 demographic the freshman drama had a 6.4 rating. These numbers will likely go up when final numbers hit later today. And even more when DVR footage is factored in.
Big. Huge. Crazy.
In the 9-10 p.m. hour, Empire had a 6.8 rating and 17.5 million viewers.