Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
How can i get hhv n have not?
Mkuu ushaanza kuangalia msimu mpya vikings nipe list ya series mpya zenye big watching rates za 2015
Empire iko juu imezungumziwa sana mpaka nikapata mshawasha wa kuitazama naipaisha nishafika episode 9 ..Hii Empire ndo nimeianza leo, nimemaliza episode ya kwanza...so far nimeipenda
ray lee
Umeshaangalia episode ya mwisho???MARY JANE anawakilisha wanawake wengi mno na uhusiano wake na david uko unhealthy maana ni wakuparamiana tu hamna committment.Lakini pale alipomwambia i want your baby then next morning anasubiri majibu kutoka kwa mungu dah!!!Anatoa mixed signals sana...
Empire iko juu imezungumziwa sana mpaka nikapata mshawasha wa kuitazama naipaisha nishafika episode 9…..
ray lee
Umeshaangalia episode ya mwisho???MARY JANE anawakilisha wanawake wengi mno na uhusiano wake na david uko unhealthy maana ni wakuparamiana tu hamna committment.Lakini pale alipomwambia i want your baby then next morning anasubiri majibu kutoka kwa mungu dah!!!Anatoa mixed signals sana...
Mi namuangaliaga nacheka sana lakini najua kuna wanawake type ya Mary Jane,ngumu kutulia kimoja. yeye mwenyewe anaogopa commitment,anapenda idea ya commitment ila uhalisia wake hajakubaliana nao. Ya jana umeangalia?
Hata sijaiangalia shost empire imenikamata nikilala nayo na kuamka nayo lkn naipause kwanza ngoja nimcheki MJ!!Mi namuangaliaga nacheka sana lakini najua kuna wanawake type ya Mary Jane,ngumu kutulia kimoja. yeye mwenyewe anaogopa commitment,anapenda idea ya commitment ila uhalisia wake hajakubaliana nao. Ya jana umeangalia?
Ukiwa na mpnz kama MJ inabidi na we uwe chizi kidogo ili muende sawa
Yah nimeipenda empire na the songs are so refreshing too yaani haiboi!!I liked cookie ha ha ha she is nuts lol....Nitacheki na hio nyingine nikimaliza empire!Umeipenda so far? Mtu mmoja ali-recommend If loving you is wrong hapa,nimeitizama pia nimeipenda kiasi. Iwe next!
Hata sijaiangalia shost empire imenikamata nikilala nayo na kuamka nayo lkn naipause kwanza ngoja nimcheki MJ!!
Yah nimeipenda empire na the songs are so refreshibg too yaani haiboi!!I liked cookie ha ha ha she is nuts lol....Nitacheki na hio nyingine nikimaliza empire!
Kabisa, he he he he,mi navyompendaga David ila ukweli naanza kumuona Sheldon mzuri japokuwa MJ atamuua kisaikolojia.....MJ anastahili yule msanii wake wa mwanzo aliomwagia maji au kale ka chocolate kake ka part time.
Empire ni kila kitu. Hii Serie imeanza Mwaka huu January lakini imekwisha jizolea Mamilioni ya Wapenzi na watazamaji Lukuki.
Hii sio ya kukosa kwa wale wapenzi wa Series.