Series (Special thread)

Series (Special thread)

Na mimi nataka nianze kuangalia hiyo empire na mary jane..
Nazipataje
Cc shansarie na Michelle maana huku nlipo hakuna pa kukununua...haya muniekeze na hizi mb 8 mkiniambia kudownload mhhhhh

am not sure kama zimeanza kuuzwa ila kama unatumia cable unaziona live siku husika kwa mb8 hilo ni tatizo ngoja nimwite BAK anisaidie maana ye anaonekanna mjanja mjanja.
 
Last edited by a moderator:
am not sure kama zimeanza kuuzwa ila kama unatumia cable unaziona live siku husika kwa mb8 hilo ni tatizo ngoja nimwite BAK anisaidie maana ye anaonekanna mjanja mjanja.

Mie natumia azam channel gani niwe navizia
 
Last edited by a moderator:
Uwiiiii..
asa hata sijui kama ipo hiyo channel...sema nikirudi nitaitafuta.
Na inaonyeshwa saa ngapi za kibongo

Saa kumi alfajiri ila unaweza kurekodi kama una decoda nadhani, mi sio mjuzi saana mngoje michelle
 
Saa kumi alfajiri ila unaweza kurekodi kama una decoda nadhani, mi sio mjuzi saana mngoje michelle

mi mjuzi wapi tena?? kama ana PVR anaweza kuwa anarekodi anaangalia pale anapotaka if ni ngumu kuamka mapema asubuhi. That's the best option kwa kwetu nyumbani ambako tunapishana saa na Marekani.
 
Ok nimewapata sana hiki kisimbusi kinarekodi ila sina uhakika kama hiyo BET ipo...
haya wapi kwa laptop nadowload kwa mb kidogo kwa urahisi...
 
Ok nimewapata sana hiki kisimbusi kinarekodi ila sina uhakika kama hiyo BET ipo...
haya wapi kwa laptop nadowload kwa mb kidogo kwa urahisi...

sijawahi tumia Azam TV ila najua DSTV BET ipo....kwenye ku-download mi hutumia torrentz.eu kwa series na movies.
Fungua hiyo torrentz.eu then search episodes ya kwanza mpaka mwisho. sio ngumu.
Wengine wanaojua watakuja kukuambia,jaribu hiyo kwanza.
 
Breaking bad ni noma

Mshkaji very decent baada ya kugundua anaumwa kansa na amebaki miezi kadhaa kansa imuue na akiangalia familia ni masikini hana cha kuwaachia, akaamua kujiingiza kwenye biashara ya madawa ya kulevya ili kupata pesa ya chap chap kabla hajafa kwaajili ya familia yake

Bahati kansa ikaisha na biashara ikamnogea

Bonge moja la stori, sio yakukosa kama unapenda series

Ni noma hii
 
Ok nimewapata sana hiki kisimbusi kinarekodi ila sina uhakika kama hiyo BET ipo...
haya wapi kwa laptop nadowload kwa mb kidogo kwa urahisi...

Tumia voda uhuru bundle upate unlimited for tsh 1,000 for 24 hrs....mi ndio natumia hata kwenye kustream kwenye tablet na simu hata laptop

just google www.kickass.to.com

installed torrent lazima iwepo kwa PC yako lakin

Pia unaweza kuziona live kwa kustream series zote unazozitaka kwenye huu mtandao....

watchseries
 
THE WALKING DEAD SEASON 5....

usikose goma tamu kabisa hlo....kwa wafuatiliaji season 5 bado episode mbili tu ifikie Season Finale...na ni kama wiki mbili zijazo itakua Full premired..

stay tuned....
 
Back
Top Bottom