Empire ni fox inarudi mwezi wa tano season two maryjane iko BETMie natumia azam channel gani niwe navizia
Empire ni fox inarudi mwezi wa tano season two maryjane iko BET
Uwiiiii..
asa hata sijui kama ipo hiyo channel...sema nikirudi nitaitafuta.
Na inaonyeshwa saa ngapi za kibongo
Saa kumi alfajiri ila unaweza kurekodi kama una decoda nadhani, mi sio mjuzi saana mngoje michelle
Saa kumi alfajiri ila unaweza kurekodi kama una decoda nadhani, mi sio mjuzi saana mngoje michelle
mi mjuzi wapi tena?? kama ana PVR anaweza kuwa anarekodi anaangalia pale anapotaka if ni ngumu kuamka mapema asubuhi. That's the best option kwa kwetu nyumbani ambako tunapishana saa na Marekani.
Ok nimewapata sana hiki kisimbusi kinarekodi ila sina uhakika kama hiyo BET ipo...
haya wapi kwa laptop nadowload kwa mb kidogo kwa urahisi...
Ok nimewapata sana hiki kisimbusi kinarekodi ila sina uhakika kama hiyo BET ipo...
haya wapi kwa laptop nadowload kwa mb kidogo kwa urahisi...
Breaking bad ni noma
Mshkaji very decent baada ya kugundua anaumwa kansa na amebaki miezi kadhaa kansa imuue na akiangalia familia ni masikini hana cha kuwaachia, akaamua kujiingiza kwenye biashara ya madawa ya kulevya ili kupata pesa ya chap chap kabla hajafa kwaajili ya familia yake
Bahati kansa ikaisha na biashara ikamnogea
Bonge moja la stori, sio yakukosa kama unapenda series
Ok nimewapata sana hiki kisimbusi kinarekodi ila sina uhakika kama hiyo BET ipo...
haya wapi kwa laptop nadowload kwa mb kidogo kwa urahisi...
IF LOVING YOU IS WRONG ni hatar
Thanx ndugu...
You know i'm not good in that..
American crime
CSI cyber
Gangland Undercover
Secrets and lies