Series (Special thread)

Series (Special thread)

gorgeousmimi Mi nahisi hajakukera kama mi anavyonikera Randal...yani nimetokea kumchukia tu Yule kaka...vipi upate mchepuko kama ule???..hope utatamani ardhi ipasuke utumbukie...jamaa ni king'ang'anizi ile mbaya...nimekapenda ka-esperanza mwenzio..nifanyie mpango basi...I like the way kanavyolalamika Eddie akiwa anakazingua...

Simpendi yule kaka pia,by the way simuoni kama ni actor mzuri...too fake!
 
A weak pyschpath....sijui kama umeangalia mpaka mwisho,ni dhaifu sana yule....analia kama mtoto....kapata kiboko yake,mwanaume wa ukweli mwenye support ya gang members.....acha kabisa....patachimbika
Hata sijafika mbali bado lkn keshanichefua roho...usiniache nikaangalia episodes zote leo loh....
 
Macho yatauma nenda nayo tu taratibu Gourgeous.....lol...alikosea tu kuoa mwanamke kwa hela zake huku moyo uko kwa Esperanza.....mi nampenda mke wa Randol,japo mjinga lakini nakapenda....she is so innocent jamani
 
ha ha ha haaaaaa, type yako Mary Jane uko huku unamtaka Esperanza wa watu.....wewe tutakupatia Peppa

Hahaha..MJ nimeachana nae..nisije ku-run mental bure....ka-esperanza kanajua kulalamika..peppa labda mnipe kama nyongeza..hana guarantee yule
 
Kuna EMPIRE kwa sasa ni nzuri pia,ila me napenda za Intelijensia,mambo ya upelelezi na udukuzi dukuzi
 
Tumeshakunyima Esperanza, una option ya Peppa....kama ungekuwa umeangalia the Have and the Hav nOts tungekupa Candice au Amanda....hiyo nayo ni kichaa series....!
 
A weak pyschpath....sijui kama umeangalia mpaka mwisho,ni dhaifu sana yule....analia kama mtoto....kapata kiboko yake,mwanaume wa ukweli mwenye support ya gang members.....acha kabisa....patachimbika

Pale kaingia cha kichina..hujisaidii bila kupiga msamba..yani anatamani hata series iishe mapema lol
 
Kuna EMPIRE kwa sasa ni nzuri pia,ila me napenda za Intelijensia,mambo ya upelelezi na udukuzi dukuzi

Za udukuzi nzuri ila sasa zimekuwa mno nyingi na kama zinajirudia vile ila watu tofauti....Empire imeleta utofauti
 
Hii ndio series ambayo naichukia kwa mwaka huu.. inshort kila kitu kiko sawa ila waliponiudhi ni kwenye ushoga baaasi!!
Yeah ushoga hata mie umenikera sana kwa Empire,naona US wanajaribu kuutangaza kwa hali na mali,ingawa baadhi ya watu bado wanauchukia including Lucio,japo kibiashara haupingi.
"Your girlfriend has a girlfriend,so u have two girlfriends,its mathematician dream"
 
Macho yatauma nenda nayo tu taratibu Gourgeous.....lol...alikosea tu kuoa mwanamke kwa hela zake huku moyo uko kwa Esperanza.....mi nampenda mke wa Randol,japo mjinga lakini nakapenda....she is so innocent jamani
Nimefika episode 5 haaa huyu Randol bana ananahii na mkewe mbele ya Alex...dah thats nasty sijui ndo anajaribu kumtia wivu alex au nn!!!Basi yule Edward akimnyanyasa Esperanza nakasirika natamani nimtetee!!!Kama edward kapata wababe wake ni vizuri naona julius is plan to kill him teh teh teh!!!
 
Nimefika episode 5 haaa huyu Randol bana ananahii na mkewe mbele ya Alex...dah thats nasty sijui ndo anajaribu kumtia wivu alex au nn!!!

Bado tano tu umalize Season 1, jamani mimi Randol simpendi,namuona mtu mbaya sana.....eti ndio mshauri....mateso anampa mkewe ni hatari....!
 
Macho yatauma nenda nayo tu taratibu Gourgeous.....lol...alikosea tu kuoa mwanamke kwa hela zake huku moyo uko kwa Esperanza.....mi nampenda mke wa Randol,japo mjinga lakini nakapenda....she is so innocent jamani

Marcie anatia huruma Kwa kweli alikuwa anamuamini sana randal..
 
Hope next episode brad ayafanya yake tusimuone tena

Amen....mbona humuongelei best wako nani yule aliyekuwa Mission...katafutiwa mwanamke na mama yake na bado anampenda bi mkubwa wake???? kweli kuna wanaume vichwa maji.....simuelewagi kabisa yule kijana
 
Nimefika episode 5 haaa huyu Randol bana ananahii na mkewe mbele ya Alex...dah thats nasty sijui ndo anajaribu kumtia wivu alex au nn!!!Basi yule Edward akimnyanyasa Esperanza nakasirika natamani nimtetee!!!Kama edward kapata wababe wake ni vizuri naona julius is plan to kill him teh teh teh!!!

Tusikumalizie uhondo..malizana nayo kwanza
 
Namshangaa sana kupenda vinyonge,type zake ni za Maryjane na Peppa :lol::lol::lol::lol:

Tumeshakunyima Esperanza, una option ya Peppa....kama ungekuwa umeangalia the Have and the Hav nOts tungekupa Candice au Amanda....hiyo nayo ni kichaa series....!

Nimegoma jamani..msinifanyie hivyo mtt wa mwanamke mwenzenu..why mnipe machizi??..namataka esperanza
 
Back
Top Bottom